Tanzania mpya imedhihirishwa na Ujenzi wa Jengo la Tatu la Abiria (Terminal 3) katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Akizungumza na Idara ya Habari Maelezo hivi karibuni Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa uwanja huo kutoka Wakala wa Taifa wa Barabara TANROADS, Mhandisi Barton Komba amesema: …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 9, 2019
HOSPITALI KUBWA YA KIJESHI YA KIWANGO CHA ”LEVEL 4” KUJENGWA MKOANI DODOMA
Serikali ya Shirikisho la Ujerumani kupitia Mpango wa Kusaidia Majeshi Rafiki imekubali kuongeza kipindi cha kutoa misaada kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa miaka 4 zaidi kuanzia mwaka 2021 hadi 2024 ambapo pamoja na mambo mengine itajenga Hospitali kubwa ya Kijeshi yenye kiwango cha “Level 4” …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI AITAKA TANESCO KUENDELEZA MIRADI YA UMEME VIJIJINI
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuendelea kusambaza umeme vijijini mara wakandarasi wa umeme vijijini wanapomaliza kazi kwa mujibu wa mkataba. Dkt. Kalemani aliyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kukagua kazi ya usambazaji umeme vijijini katika Wilaya za Mpwapwa na Bahi mkoani Dodoma ambapo aliambatana …
Soma zaidi »