Maktaba ya Kila Siku: June 17, 2019

WIZARA YA MADINI, FEDHA ZASAINI MAKUBALIANO MKAKATI WA UKUSANYAJI MADUHULI

Leo tarehe 17 Juni, 2019, Wizara ya Madini na Wizara ya Fedha na Mipango zimesaini makubaliano ya mkakati wa ukusanyaji wa maduhuli kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ya shilingi bilioni 475. Hafla ya utiaji wa saini wa makubaliano hayo iliyofanyika jijini Dodoma, ilihudhuriwa na viongozi waandamizi wa Wizara ya Madini …

Soma zaidi »

SERIKALI YAPOKEA MSAADA WA MASHINE 62 ZA KUSAFISHIA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto yaendelea kusogeza huduma za matibabu ya figo kwa kupokea msaada wa mashine 62 za kusafishia damu kwa wagonjwa wa figo na kuzisambaza katika Hospitali za Rufaa za mikoa nchini. Hayo yamejiri mapema leo katika tukio la kupokea mashine …

Soma zaidi »

WIZARA YA NISHATI, TANESCO NA REA WAJADILI MIPANGO YA USAMBAZAJI UMEME KWA MWAKA 2019/20

Ili kuhakikisha kuwa kazi ya usambazaji umeme mijini na vijijini inafanyika kwa kasi na ufanisi katika mwaka wa fedha 2019/20, viongozi wa Wizara ya Nishati wakiongozwa na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani wamefanya Mkutano wa siku moja na watendaji wa TANESCO na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili kujadili …

Soma zaidi »