Maktaba ya Kila Siku: June 10, 2019

RC NDIKILO ARIDHISHWA NA UJENZI WA NYUMBA 42 ZA ASKARI MKOANI PWANI AMBAZO ZITAGHARIMU SH.BIL. MOJA

Mwnyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo, ameridhishwa na ujenzi wa nyumba 42 za askari ambazo zipo kwenye hatua ya umaliziaji kwa kanda maalum ya kipolisi Rufiji na jeshi la polisi mkoani Pwani ambazo zitagharimu sh. bilioni moja. Aidha amewaasa wadau kushiriki kusaidia ujenzi wa …

Soma zaidi »

LIVE: HAFLA YA UAPISHO NA KUPOKEA MRABAHA KUTOKA AIRTEL IKULU DSM

  Ikulu, Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 10 Juni, 2019 awaapisha viongozi wafuatao aliowateua hivi karibuni – 1.Mhe. Innocent Lugha Bashungwa(Mb) kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara 2.Bw. Charles Edward Kichere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe 3.Bw. …

Soma zaidi »

SERIKALI KUFANYA UTAFITI NA TATHMINI KUHUSU MAJI KUJAA KWENYE MASHAMBA

Serikali imearifu kuwa inafanya utafiti na tathmini ya kina ya maji kujaa kwenye mashamba ya wakulima katika maeneo mbalimbali nchini. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Omary Mgumba ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 10 Juni 2019 wakati akijibu swali la Mhe Yahaya Omary Massare wa Jimbo la Manyoni Magharibi …

Soma zaidi »