UPANUZI WA GATI KATIKA BANDARI YA KASANGA WAKAMILIKA

BB
Biashara ya saruji kwenda nchi za Demokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi, sasa inatarajiwa kushika kasi ya ajabu nakukuza uchumi wa Taifa, baada ya kazi kubwa ya upanuzi wa gati la kisasa la meli kukamilika katika bandari ya Kasanga wilayani Kalambo mkoani Rukwa.
BB
Biashara ya saruji kwenda nchi za Demokrasia ya Kongo (DRC) na Burundi, sasa inatarajiwa kushika kasi na kukuza uchumi wa Taifa, baada ya kazi kubwa ya upanuzi wa gati la kisasa la meli kukamilika katika bandari ya Kasanga wilayani Kalambo mkoani Rukwa.
Ad

Unaweza kuangalia pia

UKARABATI WA KIVUKO CHA MV. PANGANI II WAKAMILIKA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *