UJERUMANI YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SH. BIL. 32.7 KUSAIDIA AFYA YA MAMA NA MTOTO

  • Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo (KFW) imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 13, sawa na sh. bilioni 32.74 kwa ajili ya kuboresha afya ya uzazi na watoto wachanga na pia kukinga maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kupitia mradi ujulikanao kama Tumaini la Mama.
  • Hafla ya utiaji saini mkataba wa msaada huo imefanyika Jijini Dar es Salaam kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James kwa niaba ya Tanzania na Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Ujerumani Dkt. Annika Calov.
  • Msaada huo ni kwa ajili ya kutekeleza awamu ya tatu ya mradi huo unaotekelezwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ambapo umelenga kuwapatia huduma akima mama na watoto wanaotoka katika kaya masikini
FM 1-01
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (katikati) akitia saini Mkataba wa msaada kati ya Serikali ya Tanzania na Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo (KFW) wa Euro milioni 13, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 32.74 kwa ajili ya kuboresha afya ya uzazi na watoto wachanga na pia kukinga maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kupitia mradi ujulikanao kama “Tumaini la Mama. Kushoto ni Mkurugenzi wa KFW nchini, Dkt. Anna Calov na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NIHF) Bw. Bernard Konga.
  • Alisema kupitia mradi huo pia vifaa tiba vinavyohusiana na afya ya uzazi vyenye thamani ya zaidi ya shilingi za Tanzania milioni 900 katika vituo vya Afya vilivyoko katika mikoa iliyochaguliwa kwa ajili ya kuimarisha utoaji wa huduma za afya vimetolewa.
  • Mradi huu ulianza mwaka 2012 ambapo Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) ilitoa Euro milioni 13 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 25.5 kupitia mkataba uliosainiwa tarehe 2 Desemba 2009.
  • “Awamu ya pili ya mradi ilianza mwaka 2016 ambapo Ujerumani ilitoa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 48.2 kupitia mkataba uliosainiwa tarehe 15 Machi 2015. Siku ya leo Serikali yenu imeahidi kupitia mkataba huu, kutoa msaada mwingine wa Euro milioni 13 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 32.4 kutekeleza awamu ya tatu ya mradi, tunaishukuru sana,” alisema Bw. James.
  • James alisema mradi huo ni muhimu kwa kuzingatia kwamba unaongeza nguvu katika juhudi za Serikali za kupunguza vifo vya mama na mtoto lakini pia kuongeza tabia ya kutumia bima ya afya kwa watanzania na hii inaenda sambamba na awamu ya Pili ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano na awamu ya Tatu ya MKUZA.
FM 2-01
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James (katikati), Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KFW) hapa nchini Dkt. Anna Calov (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NIHF) Bw. Bernard Konga wakionesha Mikataba ya msaada kati ya Serikali ya Tanzania na Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani wa Euro milioni 13, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 32.74 kwa ajili ya kuboresha afya ya uzazi na watoto wachanga na pia kukinga maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kupitia mradi ujulikanao kama “Tumaini la Mama.
  • “Kwa mfano, katika awamu ya Pili ya Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano, Serikali imelenga kwamba, hadi mwaka 2020: Vifo vitokanavyo na uzazi vipungue kutoka 454 mwaka 2015 hadi 250 katika kila vizazi hai 100,000; muda wa kuishi uongezeke hadi miaka 66 kutoka miaka 56; na maambukizi ya VVU na UKIMWI yapungue kutoka asilimia 9 hadi 3,” alisema .
  • Naye Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Ujerumani Dkt. Annika Calov alisema nchi yake inajivunia uhusiano mzuri na Tanzania na kwamba mradi huo wa Tumaini la Mama umelenga kuboresha afya akina mama wanaotoka katika familia maskini.
  • “Lengo kubwa ni kuboresha afya za mama na mtoto na kuzuia maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na kwa kuanzia mradi huu umekijita katika mikoa mitano ya Mbeya, Songwe, Tanga, Lindi na Mtwara,” alisema Calov.
  • Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi Mkuu wa NHIF Bernard Konga alisema tangu mwaka 2012 mradi ulipoanza, jumla ya akinamama 1,157,191 wamenufaika na bima ya afya kupitia NHIF na kaya maskini 627,000 zimenufaika na huduma za CHF kwa kulipiwa ada za kujiunga.
  • “Akina mama na watoto wao wanapatiwa huduma kwa njia ya bima ya afya kupitia vituo vya afya 1097 vilivyoko katika mikoa hiyo iliyolengwa pamoja na mfuko kutoa vifaa tiba kwenye vituo,” alisema Konga. Na Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI UMMY AWATAKA WAZAZI KUWEKEZA KATIKA AFYA ZA WATOTO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wazazi kuwekeza …

89 Maoni

  1. You have remarked very interesting details! ps decent website.Raise range

  2. The story of the great Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobe-bryant-fr.com with ” Los Angeles Lakers: his path to the championship, his legendary achievements.

  3. Jannik Sinner https://tennis.jannik-sinner-fr.biz an Italian tennis player, went from starting his career to entering the top 10 of the ATP, demonstrating unique abilities and ambitions in world tennis.

  4. Discover Casper Ruud’s https://tennis.casper-ruud-fr.com journey from his Challenger debut to the top 10 of the world tennis rankings. A unique success.

  5. The story of Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso-fr.com in Formula 1: a unique path to success through talent, tenacity and strategic decisions, inspiring and exciting.

  6. Max Verstappen and Red Bull Racing’s https://red-bull-racing.max-verstappen-fr.com path to success in Formula 1. A story of talent, determination and team support leading to a championship title.

  7. Parisian PSG https://paris.psg-fr.com is one of the most successful and ambitious football clubs in Europe. Find out how he became a global football superstar.

  8. The fascinating story of Gigi Hadid’s rise to Victoria’s Secret Angel https://victorias-secret.gigi-hadid-fr.com status and her journey to the top of the modeling industry.

  9. Olympique de Marseille https://liga1.marseilles-fr.com after several years in the shadows, once again becomes champion of France. How did they do it and what prospects open up for the club

  10. The fascinating story of the creation and meteoric rise of Amazon https://amazon.jeff-bezos-fr.com from its humble beginnings as an online bookstore to its dominant force in the world of e-commerce.

  11. The inspiring story of Travis Scott’s https://yeezus.travis-scott-fr.com rise from emerging artist to one of modern hip-hop’s brightest stars through his collaboration with Kanye West.

  12. An exploration of Nicole Kidman’s https://watch.nicole-kidman-fr.com career, her notable roles, and her continued quest for excellence as an actress.

  13. How Taylor Swift https://midnights.taylor-swift-fr.com reinvented her sound and image on the intimate and reflective album “Midnights,” revealing new dimensions of her talent.

  14. The iconic Anfield https://enfield.liverpool-fr.com stadium and the passionate Liverpool fans are an integral part of English football culture.

  15. The new Premier League https://premier-league.chelsea-fr.com season has gotten off to an intriguing start, with a new-look Chelsea looking to return to the Champions League, but serious challenges lie ahead.

  16. The story of Kanye West https://the-college-dropout.kanye-west-fr.com, starting with his debut album “The College Dropout,” which changed hip-hop and became his cultural legacy.

  17. The fascinating story of the phenomenal rise and meteoric fall of Diego Maradona https://napoli.diegomaradona.biz, who became a cult figure at Napoli in the 1980s.

  18. Explore the remarkable journey of Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior.net, the Brazilian prodigy who conquered the world’s biggest stage with his dazzling skills and unparalleled ambition at Real Madrid.

  19. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristianoronaldo-br.net one of the greatest football players of all time, begins a new chapter in his career by joining An Nasr Club.

  20. From academy product to captain and leader of Real Madrid https://real-madrid.ikercasillas-br.com Casillas became one of the greatest players in the history of Real Madrid.

  21. Лучшие пансионаты для пожилых людей https://ernst-neizvestniy.ru в Самаре – недорогие дома для престарелых в Самарской области

  22. In-depth articles about the most famous football players https://zenit-saint-petersburg.wendel-br.com, clubs and events. Learn everything about tactics, rules of the game and football history.

  23. Fabrizio Moretti https://the-strokes.fabriziomoretti-br.com the influential drummer of The Strokes, and his unique sound revolutionized the music scene, remaining icons of modern rock.

  24. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-br.net one of the greatest basketball players of all the times, left an indelible mark on the history of sport.

  25. Achraf Hakimi https://paris-saint-germain.ashrafhakimi.net is a young Moroccan footballer who quickly reached the football elite European in recent years.

  26. Ayrton Senna https://mclaren.ayrtonsenna-br.com is one of the greatest drivers in the history of Formula 1.

  27. Nuno Mendes https://paris-saint-germain.nuno-mendes.com, a talented Portuguese left-back, He quickly became one of the key figures in the Paris Saint-Germain (PSG) team.

  28. Toni Kroos https://real-madrid.tonikroos-ar.com the German midfielder known for his accurate passes and calmness on the field, has achieved remarkable success at one of the most prestigious football clubs in the world.

  29. Luka Modric https://real-madrid.lukamodric-ar.com can certainly be called one of the outstanding midfielders in modern football.

  30. Сайт https://ps-likers.ru предлагает уроки по фотошоп для начинающих. На страницах сайта можно найти пошаговые руководства по анимации, созданию графики для сайтов, дизайну, работе с текстом и фотографиями, а также различные эффекты.

  31. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  32. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  33. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  34. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  35. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  36. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  37. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  38. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *