SHIRIKA LA IFC LATAKIWA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KATIKA UCHAMBUZI WA MAZINGIRA YA SEKTA BINAFSI

  • Serikali ya Tanzania imeiomba Benki ya Dunia kupitia Shirika lake la Fedha (IFC), kufanya kazi ya uchambuzi wa kitaalamu wa mazingira ya Sekta Binafsi nchini kwa kushirikiana na Serikali ili kuweza kufanyia kazi kikamilifu taarifa za uchambuzi huo kwa manufaa ya Taifa.
  • Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, alipokutana na kufanya mazungumzo na Meneja wa Shirika la Kimataifa la IFC, Bw. Manuel Moses, anaeziwakilisha nchi za Afrika Mashariki, Somalia na Malawi.
A-01
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (kushoto), akieleza umuhimu wa Serikali kushiriki kikamilifu katika uchambuzi wa mazingira ya Sekta binafsi kwa manufaa ya wananchi, wakati wa Mkutano na Meneja wa Shirika la Kimataifa la IFC, Bw. Manuel Moses, anaeziwakilisha nchi za Afrika Mashariki, Somalia na Malawi (kulia), jijini Dodoma.
  • Dkt. Mpango alisema kuwa msimamo wa Serikali ni kuwa kazi ya uchambuzi wa changamoto za mazingira ya Sekta Binafsi ifanyike kwa ushirikiano kati ya Serikali na IFC ili taarifa ya matokeo ya uchambuzi huo iweze kufanyiwa kazi kikamilifu badala ya taarifa hiyo kuachwa bila kufanyiwa kazi kutokana na ushirikishwaji hafifu kutoka katika taasisi hiyo.
  • “Tunataka kufanyia kazi taarifa ambayo tumeshiriki kuiandaa na tutakuwa tunatekeleza jambo letu sisi wenyewe”, alieleza Dkt. Mpango.
D-01
Wajumbe wa Mkutano kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) na Meneja wa Shirika la Kimataifa la IFC, Bw. Manuel Moses, anaeziwakilisha nchi za Afrika Mashariki, Somalia na Malawi (hawapo pichani), wakifuatilia kwa makini maelezo ya fursa zilizopo katika Shirika la IFC, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma.
  • Dkt. Mpango amelitaka Shirika hilo lijielekeze katika misaada ya kitaalam na fedha ili kukuza Sekta Binafsi kwa kuendana na vipaumbele vya Serikali ya Awamu ya Tano hususan upande wa kilimo bila kuiacha nyuma Sekta ya viwanda kwa kuangalia namna wadau wa Sekta Binafsi wanavyoweza kupata utaalam kutoka IFC.
  • Aidha alibainisha kuwa Tanzania imewahi kufanya kazi za uchambuzi na Serikali ya Marekani mwaka 2011 wakati wa kupitia utekelezaji wa dira ya maendeleo na kuandaa mipango ya nchi, pia kuna mpango wa kuangalia mazingira ya biashara pamoja na jarida lenye hatua mbalimbali ambazo zilikubaliwa na Sekta Binafsi katika kukuza sekta hiyo na kutoa ajira kwa wananchi.
B-01
Meneja wa Shirika la Kimataifa la IFC, Bw. Manuel Moses, anaeziwakilisha nchi za Afrika Mashariki, Somalia na Malawi (kulia), akieleza fursa zilizopo katika Shirika lake ikiwemo mikopo, wakati wa mkutano na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dodoma.
  • “Kazi yoyote lazima izingatie mipango ya Serikali katika kuendelea kuboresha mazingira ya kukua kwa Sekta Binafsi, kufanya biashara na kuwekeza”, aliongeza Dkt. Mpango.
  • Dkt. Mpango alisema kuwa wamejadili pia kuhusu uwezekano wa IFC kutoa hati fungani ambayo kwa sasa inalipwa kwa dola iweze kutolewa kwa Shilingi ya Tanzania.  Hata hivyo alibainisha kuwa bado jambo hilo linahitaji uchambuzi wa kitaalamu kwa kuwa hati fungani haiwezi kutolewa bila nchi kufanya tathmini huru na makampuni ya kimataifa kuhusu nguvu yake ya kuweza kukopa kwenye masoko kama hayo.
  • Alisema kuwa hadi mwishoni mwa mwezi huu majibu yatatatolewa baada ya wataalamu kuchakata na kupata majibu ya kuendelea na jambo hilo au kulisitisha.
E-01
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa nne kushoto), akipeana mkono na Meneja wa Shirika la Kimataifa la IFC, Bw. Manuel Moses, anaeziwakilisha nchi za Afrika Mashariki, Somalia na Malawi (wa tatu kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa wajumbe wa mkutano huo kutoka Tanzania na Shirika la IFC. (Picha na Peter Haule, WFM, Dodoma)
  • Kwa upande mwingine Serikali ya Tanzania imeiomba Benki ya Dunia kupitia Shirika hilo la IFC, kufuata Sheria za nchi inapotoa misaada ikiwemo ya Sekta Binafsi ili kujiridhisha iwapo misaada hiyo inamanufaa kwa taifa.
  • Aliyasema hayo baada ya kuwepo kwa misaada iliyotolewa kwa Sekta Binafsi na Shirika hilo ambayo haikufuata utaratibu wa utoaji misaada unaotumika nchini kwa mujibu wa sheria zilizowekwa.
  • Dkt. Mpango alisema kuwa kwa mujibu wa Sheria za nchi maombi yote ya misaada nchini ni lazima yapite kwenye kamati ya kitaalamu ya kuishauri Serikali kuhusu madeni na baadae kamati ya kitaifa ambayo itatoa ushauri kwa Waziri wa Fedha ili aweze kusema sawa, iwapo msaada huo unamanufaa kwa maendeleo ya taifa.
  • Kwa upande wake Meneja wa Shirika la Kimataifa la IFC, Bw. Manuel Moses, alikubali kufanyia kazi ushauri wa Dkt. Mpango na pia alisema kuwa wamefanya mazungumzo na Serikali ili kusaidia kuboresha zaidi mazingira ya Sekta Binafsi ili iweze kuajiri watu wengi zaidi na kulipa kodi katika juhudi za kukuza uchumi wa nchi husika.
  • Shirika la IFC lipo chini ya Benki ya Dunia kwa ajili ya kusaidia nchi zinazoendelea kama Tanzania kuendeleza Sekta Binafsi pamoja na kutoa mikopo na misaada mbalimbali ambapo kwa sasa wameelekeza mikopo mingi kwenye Sekta ya Benki ambayo hutoa mikopo kwa kampuni ndogo na kubwa hapa nchini. Na. Peter Haule na Saidina Msangi, WFM, Dodoma
Ad

Unaweza kuangalia pia

SEKTA YA AFYA NCHINI KUNUFAIKA NA MSAADA WA DOLA ZA MAREKANI MILIONI 600 KUTOKA GLOBAL FUND

Serikali ya Tanzania itanufaika na msaada wa dola za Marekani milioni 600 zitakazotolewa na Taasisi …

344 Maoni

  1. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristiano-ronaldo.ae is one of the greatest names in football history, with his achievements inspiring millions of fans around the world.

  2. In 2018, the basketball world witnessed one of the most remarkable transformations in NBA history. LeBron James https://los-angeles-lakers.lebronjames-ar.com one of the greatest players of our time, decided to leave his hometown Cleveland Cavaliers and join the Los Angeles Lakers.

  3. Luis Diaz https://liverpool.luis-diaz-ar.com is a young Colombian striker who has enjoyed rapid growth since joining the ” Liverpool” in January 2022.

  4. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  5. Muhammad Al Owais https://al-hilal.mohammed-alowais-ar.com is one of the most prominent names in modern Saudi football. His path to success in Al Hilal team became an example for many young athletes.

  6. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  7. Maria Sharapova https://tennis.maria-sharapova-ar.com was born on April 19, 1987 in Nyagan, Russia. When Masha was 7 years old, her family moved to Florida, where she started playing tennis.

  8. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  9. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  10. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  11. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  12. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  13. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/hongqi-hs5-new в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  14. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  15. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  16. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  17. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  18. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  19. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  20. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  21. Monica Bellucci https://dracula.monica-bellucci-ar.com one of the most famous Italian actresses of our time, has a distinguished artistic career spanning many decades. Her talent, charisma, and stunning beauty made her an icon of world cinema.

  22. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  23. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  24. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  25. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  26. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  27. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  28. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  29. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  30. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  31. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  32. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  33. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  34. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  35. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  36. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  37. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  38. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  39. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

  40. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

  41. The Italian football championship https://italian-championship.serie-a-ar.com known as Serie A, has seen an impressive revival in recent years.

  42. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *