MKANDARASI MRADI WA UMEME MTERA ATAKIWA KUMALIZA KAZI OKTOBA, 2019

  • Mkandarasi anayetekeleza mradi wa upanuzi wa kituo cha kupoza umeme cha Mtera, ameagizwa kumaliza kazi hiyo ifikapo tarehe 4 Oktoba mwaka huu ili kuwezesha vijiji takribani 70 katika mkoa wa Iringa na Dodoma kupata umeme wa uhakika kwani sasa wanapata umeme wenye nguvu dogo.
  • Maagizo hayo yalitolewa na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani tarehe 10 Septemba, 2019 mara baada ya kufanya ukaguzi wa kushtukiza katika kituo hicho na kutoridhishwa na kasi ya mkandarasi, kampuni ya SUNIR kutoka Iran.
M 1-01
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (wa Pili kushoto, mstari wa mbele) akipata maelezo kuhusu maendeleo ya mradi wa upanuzi wa kituo cha kupoza umeme cha Mtera wakati alipofanya ziara ya kukagu kituo hicho.
  • “Mwaka 2017, Novemba tulimpa mkandarasi huyu kazi ambayo alipaswa kumaliza  ndani ya miezi 18 lakini hajafanya kazi vizuri na kazi zinazofanyika hapa haziendani na hatua ambayo ilibidi ifikiwe kwa sasa.” Alisema Dkt Kalemani.
  • Aidha, baada ya kufika kwenye eneo la mradi huo, Dkt Kalemani alikuta vibarua wanne tu wapo kazini na mkandarasi wa kampuni hiyo kutoka nchini Iran hakuwepo eneo la kazi, hivyo alimuagiza msimamizi wa mradi huo kutoka TANESCO kuhakikisha kuwa mkandarasi huyo anaongeza vibarua.
M 2-01
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (wa Pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Umeme, Mhandisi Innocent Luoga (wa Tatu kushoto) kuhusu maendeleo ya mradi wa upanuzi wa kituo cha kupoza umeme cha Mtera wakati alipofanya ziara ya kukagu kituo hicho.
  • Vilevile aliagiza kuwa, Mkandarasi huyo kutoka Iran ahakikishe anafika nchini ndani ya siku tatu ili kuweza kuchukua hatua zitakazowesha mradi huo kutekelezwa kwa kasi.
  • Alisema kuwa,  kituo hicho kitafungwa transfoma mbili zenye uwezo wa 10MVA kila moja na fedha zilizotengwa kwa ajili ya mradi huo ni Dola za Marekani milioni 3.2.
M 4-01
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (wa Tatu kutoka kulia) akikagua maendeleo ya mradi wa upanuzi wa kituo cha kupoza umeme cha Mtera.Wengine katika picha ni watendaji kutoka Wizara ya Nishati, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA).
  • “Transfoma hizi kwa sasa bado zipo bandarini lakini natoa maelekezo kwa TANESCO na Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kuhakikisha kuwa transfoma hizo zinatolewa bandarini ndani ya siku Tano ili zifungwe na ziweze kufanya kazi.”Alisema Dkt Kalemani.
  • Alieleza kuwa, awali Kituo cha kupoza umeme cha Mtera kilijengwa kwa ajili ya kuhudumia eneo hilo lenye mitambo ya kuzalisha umeme pekee lakini Serikali iliamua kukipanua kituo hicho ili kuweza kuhudumia pia maeneo na Vijiji vya jirani.
  • Katika ukaguzi huo wa kushtukiza, Waziri wa Nishati, aliambatana na Kamishna Msaidizi wa Umeme, Mhandisi Innocent Luoga na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Amos Maganga.Teresia Mhagama na Hafsa Omar
Ad

Unaweza kuangalia pia

TPDC YAOKOA TRILIONI 12.7 KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa …

19 Maoni

  1. Портал о здоровье
    https://rezus.ru и здоровом образе жизни, рекомендации врачей и полезные сервисы. Простые рекомендации для укрепления здоровья и повышения качества жизни.

  2. Philippe Coutinho Correia https://philippecoutinho.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, midfielder of the English club Aston Villa, playing on loan for the Qatari club Al-Duhail. He is known for his vision, passing, dribbling and long-range ability.

  3. Mohamed Salah https://mohamedsalah.prostoprosport-br.com e um futebolista egipcio que joga como atacante do clube ingles Liverpool e do Selecao egipcia. Considerado um dos melhores jogadores de futebol do mundo. Tricampeao da Chuteira de Ouro da Premier League inglesa: em 2018 (sozinho), 2019 (junto com Sadio Mane e Pierre-Emerick Aubameyang) e 2022 (junto com Son Heung-min).

  4. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  5. Latest news and analysis of the Premier League https://premier-league.kz. Full descriptions of matches, team statistics and the most interesting football events. Premier Kazakhstan is the best place for football fans.

  6. Интернет магазин электроники и цифровой техники по доступным ценам. Доставка мобильной электроники по Москве и Московской области.

  7. News and events of the American Basketball League https://basketball-eg.com in Egypt. Hot events, player transfers and the most interesting events. Explore the world of the NBA with us.

  8. An indomitable spirit, incredible skills and five championships – how Kobe Bryant https://losangeles-lakers.kobe-bryant.cz became an icon of the Los Angeles Lakers and the entire NBA world.

  9. Sports news https://gta-uzbek.com the most respected sports site in Uzbekistan, which contains the latest sports news, forecasts and analysis.

  10. Ronaldo de Asis Moreira https://ronaldinyo.com braziliyalik futbolchi, yarim himoyachi va hujumchi sifatida o’ynagan. Jahon chempioni (2002). “Oltin to’p” sovrindori (2005).

  11. Site with the latest news, statistics, photos of Pele https://edson-arantes-do-nascimento.com and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  12. The history of Michael Jordan’s Chicago Bulls https://chicago-bulls.michael-jordan-fr.com extends from his rookie in 1984 to a six-time NBA championship.

  13. The fascinating story of Gigi Hadid’s rise to Victoria’s Secret Angel https://victorias-secret.gigi-hadid-fr.com status and her journey to the top of the modeling industry.

  14. The fascinating story of the creation and meteoric rise of Amazon https://amazon.jeff-bezos-fr.com from its humble beginnings as an online bookstore to its dominant force in the world of e-commerce.

  15. In the world of professional tennis, the name of Gustavo Kuerten https://roland-garros.gustavokuerten.com is closely linked to one of the most prestigious Grand Slam tournaments – Roland Garros.

  16. Brazilian footballer Neymar https://al-hilal.neymar-ar.com known for his unique playing style and outstanding achievements in world football, has made a surprise move to Al Hilal Football Club.

  17. Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-ar.com born on July 21, 2000 in Leeds, England, began his football journey at an early age.

  18. RDBox.de https://rdbox.de bietet schallgedammte Gehause fur 3D-Drucker, die eine sehr leise Druckumgebung schaffen – nicht lauter als ein Kuhlschrank. Unsere Losungen sorgen fur stabile Drucktemperatur, Vibrationsisolierung, Luftreinigung und mobile App-Steuerung.

  19. In 2018, the basketball world witnessed one of the most remarkable transformations in NBA history. LeBron James https://los-angeles-lakers.lebronjames-ar.com one of the greatest players of our time, decided to leave his hometown Cleveland Cavaliers and join the Los Angeles Lakers.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *