WAZIRI MKUU MAJALIWA AFAFANUA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA RAIS DKT. MAGUFULI KUHUSU MAPENDEKEZO YA KUPATA UFUMBUZI WA MIGOGORO YA MATUMIZI YA ARDHI NCHINI

  • Serikali imeridhia kufuta mapori tengefu 12 yenye ukubwa wa ekari 707,659.94 ambayo yamepoteza sifa na imeamua yagawiwe kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za makazi, kilimo na mifugo.
  • Uamuzi huo umefikiwa (Jumatatu, Septemba 23, 2019) kweye kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam.
22-01
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari juu ya utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli kuhusu Mapendekezo ya kupata ufumbuzi wa Migogoro ya Matumizi ya Ardhi Nchini,Mkutano uliofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019
  • Akitoa taarifa mara baada ya kikao hicho, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mawaziri wa kisekta wakiongozwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bw. William Lukuvi walichambua na kuandaa taarifa ya mapendekezo ya utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi nchini iliyowasilishwa katika kikao cha Baraza la Mawaziri cha leo.
  • “Mawaziri walichambua na kubaini kuwa vijiji vyenye migogoro ni 975 na siyo 366 kama ilivyotangazwa awali, Baraza limeamua kwamba vijiji 920 vitabaki ndani ya hifadhi, mipaka irejewe upya, vipatiwe vyeti vya ardhi vya kijiji pamoja na kupangiwa mipango ya matumizi bora ya ardhi,” amesema na kuongeza kuwa orodha ya vijiji hivyo itatangazwa baadaye.
  • Waziri Mkuu amesema Serikali imeridhia Misitu ya Hifadhi saba yenye ukubwa wa ekari 46,715 iliyopoteza sifa itolewe kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za makazi, kilimo na mifugo ili kuwaondolea kero za uhaba wa ardhi.
33-01
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiwa na Mawaziri nane wa Sekta zinazohusika na Matumizi ya Ardhi alipokuwa akizungumza na Wanahabari (hawapo pichani) juu ya utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli kuhusu Mapendekezo ya kupata ufumbuzi wa Migogoro ya Matumizi ya Ardhi Nchini, Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019.
  • Wakati huohuo, Waziri Mkuu amesema Serikali imeridhia kumega hifadhi za misitu 14 kwa ajili ya kilimo na mifugo na kufuta mashamba 16 yasiyoendelezwa ili yapangiwe matumizi ya kilimo na mifugo.
  • “Vijiji 55 vilivyobaki vinaendelea kufanyiwa tathmini ya kina maeneo yaliyobaki ndani ya hifadhi na kuwasilisha mapendekezo yake kwa ajili ya uamuzi. Uchambuzi na taarifa itatolewa,” amesema na kuongeza kuwa orodha ya maeneo ya vijiji, mapori ya wanyama, misitu na mashamba yaliyofutwa itatangwa baadaye.
  • Pia amesema Baraza limeamua ardhi ya mita 500 zilizotengwa kama buffer zone (eneo kinga) kwenye maeneo ya vijiji vinavyopakana na hifadhi za wanyama ziachiwe vijiji husika na wananchi wasiondolewe kwenye maeneo hayo.
44-01
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri nane wa Sekta zinazohusika na Matumizi ya Ardhi mara baada ya kuzungumza na Wanahabari juu ya utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli kuhusu Mapendekezo ya kupata ufumbuzi wa Migogoro ya Matumizi ya Ardhi Nchini. Mkutano uliofanyika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019.
  • Ameyataja maamuzi mengine yaliyofikiwa kwenye kikao hicho kuwa ni Ofisi ya Makamu wa Rais imetakiwa ikamilishe mwongozo utakaobainisha matumizi ya ardhi ndani ya hifadhi ya mita 60 za mito, vyanzo vya maji, maziwa na bahari.
  • Maamuzi mengine ni kuzitaka Wizara na taasisi zote za Serikali zilinde maeneo yao kwa kuweka alama za kudumu zinazoonekana; na kwamba wananchi hawaruhusiwi kuvamia maeneo mapya na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya uvamizi wowote kuanzia leo.
  • Januari, mwaka huu, Rais Magufuli alitoa maagizo kwa Mawaziri nane wa sekta zinazohusika na matumizi ya ardhi wachambue na kuandaa taarifa ya mapendekezo ya kutatua migogoro ya matumizi ya ardhi nchini.
 
55-01
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akizungmza na Waziri wa Ardhi Mhe. William Lukuvi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya pamoja ya Mawaziri nane wa Sekta zinazohusika na Matumizi ya Ardhi iliyoundwa na Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli kuhusu Mapendekezo ya kupata ufumbuzi wa Migogoro ya Matumizi ya Ardhi Nchini. Mkutano uliofanika katika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019.
  • Maagizo hayo yalikuwa ni pamoja na: Kutoviondoa vijiji na vitongoji 366 vilivyomo ndani ya hifadhi; Kubainisha maeneo ya hifadhi ambayo yamepoteza sifa ili yaweze kugawiwa kwa wananchi kwa shughuli za ufugaji na kilimo na kuhakiki na kurekebisha mipaka baina ya hifadhi za misitu, wanyama na makazi.
  • Mengine ni kumega baadhi ya hifadhi za Taifa, mapori tengefu na misitu, kuwagawia wafugaji na wakulima; Kufanya mapitio ya sheria mbalimbali zinazohusiana na matumizi ya ardhi; Kupitia upya Sheria ya Vyanzo vya Maji inayozungumzia uhifadhi ndani ya mita 60; Kuwasilisha mapendekezo ya kufutwa mashamba yasiyoendelezwa na kugawa kwa wananchi kwa ajili ya uzalishaji wa mazao ya kilimo na mifugo na kuendelea kulinda na kuhifadhi maeneo ya hifadhi za misitu, wanyamapori na vyanzo vya maji.
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI ZUNGU AHUDHURIA MKUTANO WA 7 WA BARAZA LA KISEKTA LA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MALIASILI WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI

             

199 Maoni

  1. куда пожаловаться на сайт мошенников http://www.pozhalovatsya-na-moshennikov.ru/ .

  2. Ruben Diogo da Silva Neves https://ruben-neves.prostoprosport-ar.com is a Portuguese footballer who plays as a midfielder for the Saudi Arabian club Al-Hilal and the Portuguese national team. Currently, Ruben Neves plays for the Al-Hilal club wearing number 8. His contract with the Saudi club is valid until the end of June 2026.

  3. Jack Peter Grealish https://jackgrealish.prostoprosport-br.com English footballer, midfielder of the Manchester City club and the England national team. A graduate of the English club Aston Villa from Birmingham. In the 2012/13 season he won the NextGen Series international tournament, playing for the Aston Villa under-19 team

  4. Sweet Bonanza https://sweet-bonanza.prostoprosport-fr.com is an exciting slot from Pragmatic Play that has quickly gained popularity among players thanks to its unique gameplay, colorful graphics and the opportunity to win big prizes. In this article, we’ll take a closer look at all aspects of this game, from mechanics and bonus features to strategies for successful play and answers to frequently asked questions.

  5. Virgil van Dijk https://virgilvandijk.prostoprosport-br.com Futebolista holandes, zagueiro central, capitao do clube ingles Liverpool e capitao do a selecao holandesa.

  6. Romelu Menama Lukaku Bolingoli https://romelulukaku.prostoprosport-br.com Futebolista belga, atacante do clube ingles Chelsea e da selecao belga . Por emprestimo, ele joga pelo clube italiano Roma.

  7. Top sports news https://idman-azerbaycan.com.az photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  8. Latest news and details about the NBA in Azerbaijan https://nba.com.az. Hot events, player transfers and the most interesting events. Explore the world of the NBA with us.

  9. https://santekhnik-moskva.blogspot.com — вызов сантехника на дом в Москве и Московской области в удобное для вас время.

  10. The Dota 2 website https://dota2.com.az Azerbaijan provides the most detailed information about the latest game updates, tournaments and upcoming events. We have all the winning tactics, secrets and important guides.

  11. Check out the latest news, guides and in-depth reviews of the available options for playing Minecraft Az https://minecraft.com.az. Find the latest information about Minecraft Download, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  12. The most popular sports site https://sports.com.az of Azerbaijan, where the latest sports news, forecasts and analysis are collected.

  13. https://loveflover.ru — сайт посвященный комнатным растениям. Предлагает подробные статьи о выборе, выращивании и уходе за различными видами комнатных растений. Здесь можно найти полезные советы по созданию зелёного уголка в доме, руководства по декору и решению распространённых проблем, а также информацию о подходящих горшках и удобрениях. Платформа помогает создавать уютную атмосферу и гармонию в интерьере с помощью растений.

  14. Pin Up official https://pin-up.adb-auto.ru website. Login to your personal account and register through the Pin Up mirror. Slot machines for real money at Pinup online casino.

  15. Pin Up online casino https://pin-up.webrabota77.ru/ is the official website of a popular gambling establishment for players from the CIS countries. The site features thousands of slot machines, online tables and other branded entertainment from Pin Up casino.

  16. Buy TikTok followers https://tiktok-followers-buy.com to get popular and viral with your content. All packages are real and cheap — instant delivery within minutes. HQ followers for your TikTok. 100% real users. The lowest price for TikTok followers on the market

  17. Изготовление памятников и надгробий https://uralmegalit.ru по низким ценам. Собственное производство. Высокое качество, широкий ассортимент, скидки, установка.

  18. Официальный сайт Pin Up казино https://pin-up.nasledie-smolensk.ru предлагает широкий выбор игр и щедрые бонусы для игроков. Уникальные бонусные предложения, онлайн регистрация.

  19. Discover exciting virtual football in Fortnite https://fortnite.com.az. Your central hub for the latest news, expert strategies and interesting e-sports reports. Collecting points with us!

  20. Latest news, statistics, photos and much more about Pele https://pele.com.az. Get the latest news and information about football legend Pele.

  21. Mesut Ozil https://mesut-ozil.com.az latest news, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about one of the best football players Mesut Ozil.

  22. Gianluigi Buffon https://buffon.com.az Italian football player, goalkeeper. Considered one of the best goalkeepers of all time. He holds the record for the number of games in the Italian Championship, as well as the number of minutes in this tournament without conceding a goal.

  23. Канал для того, чтобы знания и опыт, могли помочь любому человеку сделать ремонт https://tvin270584.livejournal.com в своем жилище, любой сложности!

  24. Paul Labille Pogba https://paul-pogba.psg-fr.com Footballeur francais, milieu de terrain central du club italien de la Juventus. Champion du monde 2018. Actuellement suspendu pour dopage et incapable de jouer.

  25. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thibaut-courtois.real-madrid-ar.com Footballeur belge, gardien de but du Club espagnol “Real Madrid”. Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Trois fois vainqueur du Trophee Ricardo Zamora, decerne chaque annee au meilleur gardien espagnol

  26. Saud Abdullah Abdulhamid https://saud-abdulhamid.real-madrid-ar.com Saudi footballer, defender of the Al -Hilal” and the Saudi Arabian national team. Asian champion in the age category up to 19 years. Abdulhamid is a graduate of the Al-Ittihad club. On December 14, 2018, he made his debut in the Saudi Pro League in a match against Al Bateen

  27. Forward Rodrigo https://rodrygo.real-madrid-ar.com is now rightfully considered a rising star of Real Madrid. The talented Santos graduate is compared to Neymar and Cristiano Ronaldo, but the young talent does not consider himself a star.

  28. Реальные анкеты проститутки индивидуалки Москвы с проверенными фото – от элитных путан до дешевых шлюх. Каталог всех индивидуалок на каждой станции метро с реальными фотографиями без ретуши и с отзывами реальных клиентов.

  29. Welcome to the site dedicated to Michael Jordan https://michael-jordan.com.az, a basketball legend and symbol of world sports culture. Here you will find highlights, career, family and news about one of the greatest athletes of all time.

  30. Diego Armando Maradona https://diego-maradona.com.az Argentine footballer who played as an attacking midfielder and striker. He played for the clubs Argentinos Juniors, Boca Juniors, Barcelona, ??Napoli, and Sevilla.

  31. Монтаж систем отопления https://fectum.pro, водоснабжения, вентиляции, канализации, очистки воды, пылеудаления, снеготаяния, гелиосистем в Краснодаре под ключ.

  32. Lev Ivanovich Yashin https://lev-yashin.com.az Soviet football player, goalkeeper. Olympic champion in 1956 and European champion in 1960, five-time champion of the USSR, three-time winner of the USSR Cup.

  33. You have a source of the latest and most interesting sports news from Kazakhstan: “Kazakhstan sports news https://sports-kazahstan.kz: Games and records” ! Follow us to receive updates and interesting news every minute!

  34. Game World https://kz-games.kz offers the latest online gaming news, game reviews, gameplay and ideas, gaming tactics and tips . Start playing our most popular and amazing games and get ready to become the leader in the online gaming world!

  35. Top sports news https://sport-kz-news.kz, photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  36. Check out Minecraft kz https://minecraft-kz.kz for the latest news, guides, and in-depth reviews of the game options available. Find the latest information on Minecraft Download, Pocket Edition and Bedrock Edition.

  37. Предлагаем купить гаражное оборудование https://profcomplex.pro, автохимию, технику и уборочный инвентарь для клининговых компаний. Доставка по Москве и другим городам России.

  38. Spider-Man https://spiderman.kz the latest news, articles, reviews, dates, spoilers and other latest information. All materials on the topic “Spider-Man”

  39. Latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike-kz.kz, watch the most successful tournaments and be the best in the gaming world.

  40. Discover the dynamic world of Arab sports https://sports-ar.com through the lens of Arab sports news. Your premier source for breaking news, exclusive interviews, in-depth analysis and live coverage of everything happening in sports.

  41. Интернет магазин электроники и цифровой техники по доступным ценам. Доставка мобильной электроники по Москве и Московской области.

  42. Открытие для себя Ерлинг Хааланда https://manchestercity.erling-haaland-cz.com, a talented player of «Manchester City». Learn more about his skills, achievements and career growth.

  43. French prodigy Kylian Mbappe https://realmadrid.kylian-mbappe-cz.com is taking football by storm, joining his main target, ” Real.” New titles and records are expected.

  44. Промышленные насосы https://1nsk.ru/news/articles/nasosy-spetsialnogo-naznacheniya.html Wilo предлагают широкий ассортимент решений для различных отраслей промышленности, включая водоснабжение, отопление, вентиляцию, кондиционирование и многие другие. Благодаря своей высокой производительности и эффективности, насосы Wilo помогают снизить расходы на энергию и обслуживание, что делает их идеальным выбором для вашего бизнеса.

  45. Полезные советы и пошаговые инструкции по строительству https://syndyk.by, ремонту и дизайну домов и квартир, выбору материалов, монтажу и установке своими руками.

  46. Lionel Messi https://intermiami.lionel-messi-cz.com, one of the best football players of all time, moves to Inter Miami” and changes the face of North American football.

  47. Son Heung-min’s https://tottenhamhotspur.son-heung-min-cz.com success story at Tottenham Hotspur and his influence on the South Korean football, youth inspiration and changing the perception of Asian players.

  48. The story of Robert Lewandowski https://barcelona.robert-lewandowski-cz.com, his impressive journey from Poland to Barcelona, ??where he became not only a leader on the field, but also a source of inspiration for young players.

  49. Find out how Pedri https://barcelona.pedri-cz.com becomes a key figure for Barcelona – his development, influence and ambitions determine the club’s future success in world football.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *