WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA BODI YA NHC Matokeo ChanyA+ February 12, 2020 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+, Waziri Mkuu Acha maoni 1,217 Imeonekana Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) baada ya kuzungumza nao ofisini kwake , Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. Kutoka kushoto ni Charles Singili, Humphrey Polepole, Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Dkt Sophia Kongela, Makamu Mwenyekiti, Martin Madekwe, Sauda Msemo na kulia ni Abdallah Shamte. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dkt. Sophia Kongela, orodha ya majina ya taasisi na watu binafsi ambao ni wadaiwa sugu wa NHC katika mazungumzo na wajumbe wa Bodi ya NHC yaliyofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Humphrey Polepole baada ya kuzungumza na wajumbe wa Bodi hiyo ofisini kwake , Magogoni jijini Dar es salaam, Februari 11, 2020. Wengine pichani kutoka kushoto ni Abdallah Shamte, Mwenyekiti wa Bodi, Dkt. Sophia Kongela, Makamu Mwenyekiti wa Bodi, Martin Madekwe, Sauda Msemo na kulia ni Charles Singili. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest