Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema kwa sasa Tanzania ina umeme mwingi kiasi cha kuwa na ziada ya takribani megawati 300 kwa siku; lakini amesisitiza kuwa serikali itaendelea kuwekeza katika sekta husika na kuzalisha umeme mwingi zaidi. Aliyasema hayo, Septemba 25, 2019 jijini Dar es Salaam wakati akifungua Warsha …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: September 26, 2019
WAZIRI KALEMANI AAGIZA BEI YA GESI ASILIA IPITIWE UPYA
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ameziagiza Mamlaka zote zinazohusika na upangaji wa bei ya gesi asilia, kufanya mapitio upya ili kuja na bei itakayozinufaisha pande zote yaani serikali na wawekezaji. Alitoa maelekezo hayo kwa nyakati tofauti, Septemba 24 mwaka huu, alipofanya ziara katika kiwanda cha kutengeneza vigae cha …
Soma zaidi »SERIKALI MBIONI KUJENGA MITAMBO MIPYA YA UMEME MKOANI MTWARA
Katika kuhakikisha kuwa Mkoa wa Mtwara unakuwa na umeme wa uhakika kwa muda wote, Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewaeleza wafanyabishara na wawekezaji wa Mkoa huo kuwa, Serikali ipo mbioni kujenga mitambo miwili mipya ya umeme Alisema hayo, Septemba 25, 2019 wakati alipokuwa ajibu hoja za wadau wa maendeleo …
Soma zaidi »