KUWA NA UMEME WA KUTOSHA HAKUMAANISHI TUSIWEKEZE ZAIDI – WAZIRI KALEMANI

  • Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesema kwa sasa Tanzania ina umeme mwingi kiasi cha kuwa na ziada ya takribani megawati 300 kwa siku; lakini amesisitiza kuwa serikali itaendelea kuwekeza katika sekta husika na kuzalisha umeme mwingi zaidi.
  • Aliyasema hayo, Septemba 25, 2019 jijini Dar es Salaam wakati akifungua Warsha na Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Wajiolojia Tanzania, uliofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).

NI 1-01

  • Alisema hali ya nishati nchini inaendelea kuimarika kiuzalishaji umeme, kimiundombinu na kiusambazaji.
  • Akifafanua, Waziri Kalemani alisema kuna nishati ya kutosha kwa sasa kwenye gridi ya Taifa; ambayo inafikia megawati 1,600 za umeme wakati matumizi ya nchi hayajafikia megawati 1,100 kwa siku.
  • “Walau kila siku tuna ziada ya megawati 300 hadi 370,” amesema.

NI 2-01

  • Hata hivyo, Waziri alisema kuwa, pamoja na kuwa na umeme huo unaotosheleza mahitaji ya nchi kwa sasa, haimaanishi serikali isiwekeze na kuzalisha umeme zaidi.
  • Alimpongeza Rais John Magufuli kwa kuamua kutekeleza mradi mkubwa wa kuzalisha umeme  wa maji wa Julius Nyerere huko Rufiji na kueleza kwamba utakapokamilika ndani ya kipindi cha miaka mitatu, nchi itakuwa na umeme mwingi zaidi, wa uhakika na wenye gharama nafuu.

NI 3-01

  • Akizungumzia upande wa gesi asilia, Waziri alisema hadi sasa kiasi kilichogunduliwa nchini ni futi za ujazo trilioni 57.54 ambazo zinazalisha zaidi ya asilimia 55 ya umeme tulionao nchini.
  • Aidha, alisema gesi hiyo inatumika pia kuunganisha majumbani na kwenye viwanda, ambapo zoezi linaendelea katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Lindi na kwamba mikoa mingine pia itafikiwa.
  • Vilevile, alieleza kuwa, gesi husika imekwishaanza kutumika katika magari ambapo hadi sasa idadi imefikia takribani 250

NI 4-01

  • Waziri alisema mafanikio hayo katika sekta ya nishati yamechangiwa pia na Wajiolojia wazalendo ambao wamekuwa wakishiriki katika kazi mbalimbali za utafutaji wa mafuta na gesi; hivyo amewataka kuendelea kujituma zaidi katika kuitumikia nchi.
  • Kwa upande mwingine, alisema mafanikio hayo katika sekta ya nishati, yamesaidia kujenga mazingira wezeshi ya kiuwekezaji katika sekta ya madini, kwani pasipo nishati hakuna maendeleo.
  • Warsha hiyo ya Wajiolojia inafanyika sambamba na maadhimisho ya miaka 50 ya Umoja huo tangu uanzishwe. Wajiolojia kutoka Wizara ya Nishati ni miongoni mwa washiriki. Na Veronica Simba – Dar es Salaam
Ad

Unaweza kuangalia pia

BARAZA LA MADIWANI KINONDONI LA PITISHA BAJETI YA BILIONI 170.9 KWA MWAKA FEDHA 2020/ 2021

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, katika Mkutano wake maalumu wa Baraza …

82 Maoni

  1. A study of the influence of Rodrigo https://realmadrid.rodrygo-cz.com on the success and marketing strategy of Real Madrid: analysis of technical skills, popularity in Media and commercial success.

  2. The young Uruguayan Darwin Nunez https://liverpool.darwin-nunez-cz.com broke into the elite of world football, and he became a key Liverpool player.

  3. Tobey Maguire’s Ascent Study https://spider-man.tobey-maguire.cz to the superstar through his iconic image of Spider-Man in the cult trilogy.

  4. Fascinating event related to this Keanu Reeves helped him in the role of the iconic John Wick characters https://john-wick.keanu-reeves.cz, among which there is another talent who has combat smarts with inappropriate charisma.

  5. Carlos Vemola https://oktagon-mma.karlos-vemola.cz Czech professional mixed martial artist, former bodybuilder, wrestler and member Sokol.

  6. Activision and Call of Duty https://activision.call-of-duty.cz leading video game publisher and iconic shooter with a long history market dominance.

  7. Sports news https://gta-uzbek.com the most respected sports site in Uzbekistan, which contains the latest sports news, forecasts and analysis.

  8. Manchester City and Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-fr.com explosive synergy in action. How a club and a footballer light up stadiums with their dynamic play.

  9. Website dedicated to football player Paul Pogba https://pogba-uz.com. Latest news from the world of football.

  10. Site with the latest news, statistics, photos of Pele https://edson-arantes-do-nascimento.com and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  11. The story of Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso-fr.com in Formula 1: a unique path to success through talent, tenacity and strategic decisions, inspiring and exciting.

  12. Max Verstappen and Red Bull Racing’s https://red-bull-racing.max-verstappen-fr.com path to success in Formula 1. A story of talent, determination and team support leading to a championship title.

  13. A fascinating story about how Elon Musk https://spacex.elon-musk-fr.com and his company SpaceX revolutionized space exploration, opening new horizons for humanity.

  14. The inspiring story of Travis Scott’s https://yeezus.travis-scott-fr.com rise from emerging artist to one of modern hip-hop’s brightest stars through his collaboration with Kanye West.

  15. The iconic Anfield https://enfield.liverpool-fr.com stadium and the passionate Liverpool fans are an integral part of English football culture.

  16. The new Premier League https://premier-league.chelsea-fr.com season has gotten off to an intriguing start, with a new-look Chelsea looking to return to the Champions League, but serious challenges lie ahead.

  17. The fascinating story of Marcus Rashford’s rise https://manchester-united.marcusrashford-br.com from academy youth to the main striker and captain of Manchester United. Read about his meteoric rise and colorful career.

  18. The fascinating story of Sergio Ramos’ https://seville.sergioramos.net rise from Sevilla graduate to one of Real Madrid and Spain’s greatest defenders.

  19. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-br.net one of the greatest basketball players of all the times, left an indelible mark on the history of sport.

  20. Achraf Hakimi https://paris-saint-germain.ashrafhakimi.net is a young Moroccan footballer who quickly reached the football elite European in recent years.

  21. Daniel Alves https://paris-saint-germain.danielalves.net is a name that symbolizes the greatness of the world of football.

  22. Rodrygo Silva de Goes https://real-madrid.rodrygo-br.com, known simply as Rodrygo, emerged as one of the the brightest young talents in world football.

  23. Nuno Mendes https://paris-saint-germain.nuno-mendes.com, a talented Portuguese left-back, He quickly became one of the key figures in the Paris Saint-Germain (PSG) team.

  24. Anderson Silva https://killer-bees-muay-thai-college.andersonsilva.net was born in 1975 in Curitiba Brazil. From a young age he showed an interest in martial arts, starting to train in karate at the age of 5.

  25. Robert Lewandowski https://barcelona.robertlewandowski-ar.com is one of the most prominent footballers of our time, and his move to Barcelona has become one of the most talked about topics in world football.

  26. The story of Leo Messi https://inter-miami.lionelmessi.ae‘s transfer to Inter Miami began long before the official announcement. Rumors about Messi’s possible departure from Barcelona appeared in 2020

  27. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-ar.com also known as the “Black Mamba”, is one of the most iconic and iconic figures in NBA history.

  28. In 2018, the basketball world witnessed one of the most remarkable transformations in NBA history. LeBron James https://los-angeles-lakers.lebronjames-ar.com one of the greatest players of our time, decided to leave his hometown Cleveland Cavaliers and join the Los Angeles Lakers.

  29. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  30. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  31. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *