Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amesema inakadiriwa kuwa asilimia 25 hadi 33 ya wachimbaji wadogo wa dhahabu hapa nchini, wameathiriwa na Zebaki kwa kupata magonjwa yakiwemo yale ya mifumo ya neva za fahamu, uzazi, upumuaji, figo, moyo, na udhaifu wa mwili. …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: September 2019
UJERUMANI YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SH. BIL. 32.7 KUSAIDIA AFYA YA MAMA NA MTOTO
Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo (KFW) imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 13, sawa na sh. bilioni 32.74 kwa ajili ya kuboresha afya ya uzazi na watoto wachanga na pia kukinga maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kupitia mradi ujulikanao kama Tumaini la …
Soma zaidi »LIVE: KUTOKA BUNGENI KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU
LIVE: KUTOKA BUNGENI KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU
Ni mkutano wa 16 wa Bunge la 11, kikao cha tatu unaendelea katika makao makuu ya nchi jijini Dodoma, ambapo Mawaziri wa wizara mbalimbali wanaulizwa maswali na kuyatolea majibu kuhusiana na masuala mbalimbali.
Soma zaidi »WAZIRI WA NISHATI AKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, amekagua maendeleo ya kazi ya ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (MW 2115), wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani na kusema ameridhishwa na kasi yake. Alikagua Mradi huo, Septemba 8 mwaka huu ikiwa ni mara ya nane kwake kuutembelea na kukagua …
Soma zaidi »MAZINGIRA YA UWEKEZAJI SASA NI MVUTO KWA WAWEKEZAJI WA NDANI NA NJE – BASHUNGWA
Wizara ya Viwanda na Biashara katika siku yake ya pili ya Kongamano la fursa za biashara baina ya Tanzania na Uganda imerudia kuwahakikishia wafanyabiashara wake kuwa Wizara yake itawahudumia kwa karibu kwa kila hatua ili kufanikisha lengo la kufanya biashara baina ya nchi hizi mbili. Akifunga Kongamano hilo, baada ya …
Soma zaidi »WAZIRI WA KILIMO HASUNGA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA KILIMO NA MAENDELEO VIJIJINI WA ISRAEL
Waziri wa Kilimo wa Tanzania Mhe Japhet Hasunga (Mb) tarehe 5 Septemba 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo na Maendeleo Vijijini wa Israel Mhe Uri Yehuda Ariel HaCohen na kukubaliana kwa kauli moja kuwa serikali za nchi hizo mbili kuingia makubaliano ya kuendeleza kilimo hususani katika utafiti, …
Soma zaidi »