Maktaba ya Mwezi: September 2019

BUNGE LA RIDHIA MKATABA WA MINAMATA KUHUSU ZEBAKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene amesema inakadiriwa kuwa asilimia 25 hadi 33 ya wachimbaji wadogo wa dhahabu hapa nchini, wameathiriwa na Zebaki kwa kupata magonjwa yakiwemo yale ya mifumo ya neva za fahamu, uzazi, upumuaji, figo, moyo, na udhaifu wa mwili. …

Soma zaidi »

UJERUMANI YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA SH. BIL. 32.7 KUSAIDIA AFYA YA MAMA NA MTOTO

Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo (KFW) imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 13, sawa na sh. bilioni 32.74 kwa ajili ya kuboresha afya ya uzazi na watoto wachanga na pia kukinga maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kupitia mradi ujulikanao kama Tumaini la …

Soma zaidi »

WAZIRI WA NISHATI AKAGUA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani, amekagua maendeleo ya kazi ya ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (MW 2115), wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani na kusema ameridhishwa na kasi yake. Alikagua Mradi huo, Septemba 8 mwaka huu ikiwa ni mara ya nane kwake kuutembelea na kukagua …

Soma zaidi »

MAZINGIRA YA UWEKEZAJI SASA NI MVUTO KWA WAWEKEZAJI WA NDANI NA NJE – BASHUNGWA

Wizara ya Viwanda na Biashara katika siku yake ya pili ya Kongamano la fursa za biashara baina ya Tanzania na Uganda imerudia kuwahakikishia wafanyabiashara wake kuwa Wizara yake itawahudumia kwa karibu kwa kila hatua ili kufanikisha lengo la kufanya biashara baina ya nchi hizi mbili. Akifunga Kongamano hilo, baada ya …

Soma zaidi »

WAZIRI WA KILIMO HASUNGA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA KILIMO NA MAENDELEO VIJIJINI WA ISRAEL

Waziri wa Kilimo wa Tanzania Mhe Japhet Hasunga (Mb) tarehe 5 Septemba 2019 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Kilimo na Maendeleo Vijijini wa Israel Mhe Uri Yehuda Ariel HaCohen na kukubaliana kwa kauli moja kuwa serikali za nchi hizo mbili kuingia makubaliano ya kuendeleza kilimo hususani katika utafiti, …

Soma zaidi »