TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD YAZIDI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE KWA WANANCHI

  • Serikali kupitia Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) imenunua na kusimika mashine mbili za kisasa za huduma ya uchunguzi na tiba za kutibu saratani aina ya LINA na CT Simulator zenye thamani ya Tsh Bilioni 9.5/-  hatua inayolenga kupunguza muda wa kusubiri tiba mionzi kutoka wiki sita hadi kufikia wiki mbili.
  • Hayo yamebainishwa  leo Jumatatu (Desemba 2, 2019) Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa ORCI, Dkt. Julius Mwaiselage  wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya ORCI katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano unaoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli.
  • Dkt. Mwaiselage alisema mashine hizo za kisasa zinazotumia teknolojia ya 3D zinapatikana katika hospitali yoyote kubwa ya saratani duniani kama India, Ulaya na Marekani, ambapo tangu mashine hizo zianze kutoa huduma za uchunguzi na tiba mwezi Septemba 2018 tayari wagonjwa 1,141 wamepatiwa matibabu.
BBS-01
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Saratani (Ocean Road), Dkt.Julius Mwaiselage, akizungumza na Waandishi wa Habari(hawapo pichani), kuhusu mafanikio ya Taasisi hiyo kwa miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, mkutano huo ulifanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO Jijini Dar es Salaam.
  • ‘’Kwa wagonjwa 1,141 waliotibiwa kwa kipindi hicho, takribani wagonjwa 208 wangepelekwa nje ya nchi kama  mashine hizi zisingekuwepo na hivyo Serikali imeweza kuokoa Tsh. Bilioni 10.4 ambazo zingetumika kutibu wagonjwa hao nje ya nchi ambapo mgonjwa mmoja hugharimu Tsh Milioni 50’’ alisema Dkt. Mwaiselage.
  • Dkt. Mwaiselage alisema mshine ya CT Simulator imesaidia kuanzisha huduma za kupima CT Scan katika taasisi hiyo ambapo hadi kufikia mwezi Septemba mwaka huu, jumla ya wagonjwa 1,430 walikuwa wamepata kipimo cha CT Scan, hivyo kupunguza usumbufu kwa wagonjwa ambao walitakiwa kwenda hospitali nyingine kupata huduma hiyo.
  • Kuhusu rufaa za wagonjwa kwenda nje ya nchi, Dkt. Mwaiselage alisema katiks mwaka 2015, jumla wagonjwa 164 wa saratani walipatiwa rufaa kwenda nje ya nchi, lakini baada ya kuboresha huduma za saratani nchini, kuanzia  mwaka 2018 hadi 2019 ni wagonjwa 39 pekee waliosafirishwa nje ya nchi, ambapo wagonjwa hao wengi walikuwa wakienda nje kwa upasuaji na tiba mionzi ya kisasa.
  • Akibainisha mafanikio mengine, Dkt. Mwaiselage alisema ORCI pia imekarabati wodi mbili za kutolea tiba kemia ikiwemo kufungwa viyoyozi na kununua vitanda maalum vya kutolea tiba kemia hivyo kuongeza utoaji wa tiba kemia kutoka wagonjwa 40 kwa mara moja hadi wagonjwa 100 kwa mara moja, ambapo awali huduma hiyo ilikuwa inatolewa katika wodi 1 pekee.
  • ‘’Kuongezeka kwa wodi na vitanda imesaidia kupunguza muda wa kuanza tiba kemia kutka siku 10 hadi tatu pekee, ikimaanisha mgonjwa anaweza kuanza tiba ndani ya siku tatu kama majibu ya vipimo vyake vyote vitakuwa sawa kupata tiba hiyo’’ alisema Mwaiselage.
  • Aidha Dkt. Mwaiselage anasema Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamiii, Jinsia na Wazee na Watoto imewezesha kuimarisha uhakika wa upatikanaji wa dawa kutoka asilimia 4 mwaka 2014/15 hadi kufikia  asilimia 95 mwaka 2018/19, na upatikanaji wa dawa upo kwa asilimia 100 kwa wagonjwa wenye saratani za mlango wa kizazi, matiti, Kaposi sarcoma, tezi dume, njia ya chakula, kooni, damu, matezi, ngozi na kibofu cha mkojo.
  • Akifafanua zaidi Dkt. Mwaiselage alisema asilimia 5 ya dawa  zinazopungua, hupatikana katika Duka la Dawa la Jamii la Taasisi ililolianzisha ili kuimarisha upatikanaji wa dawa za saratani na dawa zake hupatikana kwa bei nafuu sana ulikinganisha na maduka mengine ya binafsi.
  • Dkt. Mwaiselage alisema kuwa kutokana na kuimarika kwa huduma za saratani katika taasisi hiyo, wagonjwa kutoka nchi jirani za Kenya, Comoro, Malawi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na Burundi wameongezeka kuja kupata huduma za tiba saratani na hivyo kuongeza mapato ya Taasisi kwani wananchi wasio raia wanalipia huduma hizo.
Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

393 Maoni

  1. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  2. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  3. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  4. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  5. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/buyers/credit-form в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  6. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  7. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  8. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  9. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  10. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  11. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  12. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  13. Monica Bellucci https://dracula.monica-bellucci-ar.com one of the most famous Italian actresses of our time, has a distinguished artistic career spanning many decades. Her talent, charisma, and stunning beauty made her an icon of world cinema.

  14. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  15. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  16. The history of one of France’s https://france.paris-saint-germain-ar.com most famous football clubs, Paris Saint-Germain, began in 1970, when capitalist businessmen Henri Delaunay and Jean-Auguste Delbave founded the club in the Paris Saint-Germain-en-Laye area.

  17. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  18. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  19. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  20. Liverpool https://england.liverpool-ar.com holds a special place in the history of football in England.

  21. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  22. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  23. самое лучшее бесплатное порно http://best-free-porno.ru .

  24. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  25. After some difficult years in the late 2010s, Manchester United https://england.manchester-united-ar.com returned to greatness in English football by 2024.

  26. The Formula One World Championship https://world-circuit-racing-championship.formula-1-ar.com, known as the Formula Championship in motor racing, is the highest tier of professional motor racing.

  27. Michael Jordan https://chicago-bulls.michael-jordan-ar.com is one of the greatest basketball players of all time, whose career with the Chicago Bulls is legendary.

  28. дизайн интерьера бесплатно дизайн интерьера

  29. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  30. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  31. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  32. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

  33. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

  34. In the German football https://german-championship.bundesliga-football-ar.com championship known as the Bundesliga, rivalries between clubs have always been intense.

  35. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

  36. На займы ру вы можете получить займ всего за пару кликов. Срочный микрозайм на карту доступны в любое время. Кредитная карта онлайн получить на лучших условиях и получите финансовой свободой. Не ждите, действуйте! Получить займ можно без лишних вопросов. Узнайте больше на https://ozaim.ru/oformit-kartu-kreditnuju/.

  37. Hi there to all, for the reason that I am genuinely eager of reading this webpage’s post to be updated daily. It contains nice stuff.

    программа накрутки пф webvisitor быдлокодер

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *