OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAANDAA MAFUNZO KWA WAKUFUNZI WA VYUO VYA VETA JUU YA NJIA BORA ZA KUHUDUMIA MAJOKOFU NA VIYOYOZI BILA KUACHA KEMIKALI ANGANI.

44-01
Mtaalamu mwelekezi wa mpango wa kupunguza Matumizi ya kemikali jamii ya hydrochlofluocar-cons(HCFCs) kemikali zinazotumika kweny viyoyozi na majokofu, Bwana Marvin Kamurthuzi kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira (UNEP) akiwasilisha mada wakati wa warsha hiyo iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.
11-01
Injinia Julius Enock kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Mazingira akiongea wakati wa ufunguzi wa warsha ya mafunzo kwa wakufunzi kutoka vyuo vya VETA juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi bila kuachia angani kemikali zinazoaathiri mazingira. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa CCEMI jijini Dar es Salaam na yameandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.
22-01
Washiriki waliohudhuria warsha ya mafunzo kwa wakufunzi kutoka vyuo vya VETA juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi bila kuachia angani kemikali zinazoaathiri mazingira wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mafunzo hayo, yaliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.
Ad

Unaweza kuangalia pia

TANZANIA YATAKA AMANI KUPUNGUZA MZIGO WA WAKIMBIZI AFRIKA

Tanzania imetaka Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kimataifa kuongeza jitihada na nguvu katika kuleta …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *