WATOTO 56 WENYE MATATIZO YA MOYO WAFANYIWA UPASUAJI MKUBWA NA MDOGO KATIKA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI)

 

1-01
Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao kutoka  King Salman Humanitarian Aid and Relief Center wa nchini Saud Arabia wakimfanyia upasuaji wa bila kufungua kifua na kuziba tundu la moyo wa mtoto kwa kutumia mtambo wa Cathlab wakati wa kambi maalum ya matibabu inayofanyika katika Taasisi hiyo. Jumla ya watoto 33 wamefanyiwa upasuaji mdogo wa bila kufungua kifua ambapo hali zao zinaendelea vizuri na wengine wameruhusiwa kurudi nyumbani.

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *