Maktaba ya Kila Siku: December 11, 2019

JOSHUA NASSARI AONGOZA WAWEKEZAJI TOKA CHINA KUANGALIA FURSA TANZANIA

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Joshua Nassari leo tarehe 11 Desemba,2019 ameongoza kundi la wafanyabiashara  wapatao kumi kufika Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Wageni hao wamefika kutoka jimbo la  Hebei, China ambao  wameonesha nia ya kuwekeza nchini kwenye miradi mbalimbali ya kuanzisha. Viwanda hivyo ni pamoja na kiwanda cha …

Soma zaidi »

MWADUI WAPEWA MWEZI MMOJA KUUZA ALMASI SOKO LA NDANI

Uongozi wa Mgodi wa Diamond Williamson (Mwadui) unaozalisha madini ya Almasi uliopo mkoani Shinyanga wilayani Kishapu umeagizwa na kupewa muda wa mwezi mmoja hadi kufikia Januari 2020 kuanza kuuza 5%  ya Almasi yote inayozalishwa katika mgodi huo kwenye soko la ndani hususani soko la Kishapu huku wazawa wakipewa fursa ya …

Soma zaidi »

GWAJIMA ASISITIZA UZALENDO, MAPITIO YA SERA YA UGATUAJI WA MADARAKA

Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Afya, OR-TAMISEMI Dkt. Dorothy Gwajima amewataka wakurugenzi wa Sera na Mipango wa Wizara zote kutanguliza uzalendo katika kufanya mapitio ya Sera ya Kitaifa ya Ugatuaji wa Madaraka. Dkt. Gwajima ameyasema hayo mapema leo wakati wa kufungua kikao kazi cha Wakurugenzi wa Wizara zote wa Sera na …

Soma zaidi »

TUNA VIFAA VYA UMEME VINGI VYA KUTOSHA – DKT KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewataka Mameneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika mikoa yote, kutowaambia wananchi kuwa kuna uhaba wa vifaa vya kuunganishia umeme kwani vilivyopo idadi yake ni kubwa kuliko matumizi ya nchi. Aliyasema hayo wakati akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya …

Soma zaidi »

KINONDONI YA ANDAA MAONESHO YA BIDHAA ZA NGOZI KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PACKERS

Mkuu  wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo amesema kuwa katika kuhakikisha tunakuza uchumi wa Viwanda, Wilaya hiyo imeandaa maonesho ya wajasiriamali  wa bidhaa zangozi yatakayofanyika Disemba 12 hadi 15 katika viwanja vya Tanganyika Packers. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mhe. Chongolo amesema kuwa maonesho hayo ambayo yata ambatana …

Soma zaidi »