Maktaba ya Mwaka: 2019

SERIKALI YAJA NA MRADI MPYA WA UMEME

Serikali kupitia Wizara ya Nishati, imezindua rasmi mradi mpya wa umeme unaolenga kupeleka nishati hiyo katika maeneo yaliyoko pembezoni mwa miji. Waziri mwenye dhamana ya sekta hiyo, Dkt Medard Kalemani, kwa nyakati tofauti wiki hii, amezindua mradi husika unaojulikana kwa jina la kigeni kama ‘Peri-Urban’ katika Wilaya tofauti za Mkoa …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AWAHAMASISHA WATANZANIA KUENDELEA KUTEMBELEA KWA WINGI MAONESHO YA BIASHARA YA NCHI ZA SADC KUONA FURSA ZILIZOPO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahamasisha Watanzania kutembelea Wiki ya Maonesho ya Biashara ya nchi za SADC yanayoendelea katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijjini Dar es Salaama ili kuona bidhaa mbalimbali zinazozalishwa. Amesema ni fursa kubwa kwa Watanzania kuona bidhaa zinazozalishwa ndani ya nchi yao lakini pia wakaona bidhaa …

Soma zaidi »

MHANDISI KAKOKO: NCHI ZA SADC ZIIMARISHE NGUVU YA PAMOJA YA MIUNDOMBINU KUKUZA VIWANDA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko amezitaka Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuunganisha nguvu ya pamoja katika kuimarisha miundombinu ya Reli, Barabara, Bandari pamoja na Mawasiliano ili kukuza sekta ya viwanda katika Mataifa hayo. Aliyasema hayo leo Jumanne (Agosti …

Soma zaidi »

UJENZI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM WAENDELEA VYEMA

Maendeleo ya ujenzi wa Bandari ya Dar es Salaam yanakwenda vizuri ambapo ujenzi wa magati 2 kati ya 7 yaliyopo umekamilika na kuanza kupokea meli kubwa za mizigo. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusdedit Kakoko amesema mradi wa ujenzi wa magati hayo utakaogharimu takribani …

Soma zaidi »