MAKAMU WA RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KUCHAKATA MPUNGA Matokeo ChanyA+ August 8, 2019 Taarifa Vyombo vya Habari, Taarifa ya Habari, Tanzania MpyA+ Acha maoni 1,124 Imeonekana Kiwanda cha kuchakata mpunga Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka kwa Meneja Ufundi wa Kiwanda cha kuchakata Mpunga na kuzalisha Mchele cha Murza Wilmer East Africa Miller Ltd Mkoani Morogoro Bw. Vaidya Subramaniam wakati wa hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi wa Kiwanda hicho Agost 07,2019. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa Ziara ya kikazi ya siku Tatu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais). Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kiwanda Cha kuchakata Mpunga na kuzalisha Mchele cha Murza Wilmer East Africa Miller Ltd kiliopo Mkoani Morogoro Agost 07,2019. Makamu wa Rais yupo Mkoani Morogoro kwa Ziara ya kikazi ya siku Tatu. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest