Maktaba ya Mwaka: 2019

RAIS MAGUFULI AFURAHISHWA NA UJIO WA RAIS KENYATTA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amempongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa kuwa Rais wa kwanza wa nje kutembelea Wilaya ya Chato. Amesema kuwa ukiachilia mbali ujirani uliopo baina ya Tanzania na Kenya, pia kuna undugu kwa kuwa tunazungumza lugha moja, tunamuingiliano wa kijamii ikiwemo kuoana …

Soma zaidi »

MKURUGENZI MKUU WA OFISI YA TAKWIMU AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA KOREA

Balozi wa Jamhuri ya Korea, Tae-ick Cho amesema Serikali ya Nchi hiyo itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Taifa ya Takiwmu (NBS) kwa ajili ya kuimarisha miundombinu yake ikiwemo mifumo ya Tekonojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na kumalizia Ujenzi wa Ofisi za NBS katika Mikoa ya Dodoma na Kigoma. Akizungumza …

Soma zaidi »

MKUU WA MKOA ANTHONY MTAKA ATAKA MAFUNDI WANAOTOKA KWENYE JAMII WATAMBULIWE, WAJENGEWE UWEZO

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri kupitia kwa wahandisi wa ujenzi kuwatambua na kuwajengea uwezo mafundi wote wanaotoka kwenye jamii wanaofanya kazi za serikali kwa kutumia mfumo wa ujenzi usiotumia wakandarasi (Force Account) hususani waliofanya kazi nzuri kwenye ujenzi wa hospitali za wilaya ya Mkoa …

Soma zaidi »

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOA SIMIYU YARIDHISHWA NA KASI YA TBA UJENZI WA OFISI YA DC BUSEGA

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Simiyu ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa, Mhe. Anthony Mtaka imeridhishwa na kasi ya Ujenzi wa jengo la ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Busega na majengo ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu, chini ya Mkandarasi Wakala wa Majengo nchini (TBA). …

Soma zaidi »