June 19,2019 Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania ulitoa taarifa katika mitandao ya kijamii “Twitter” kuhusu angalizo la kiusalama “security alert”. Angalizo hilo la kiusalama lilitokana na uvumi unaodaiwa na ubalozi huo kusambaa kuhusu uwezekano wa kutokea kwa shambulio katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam. Wizara ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
SERIKALI KUAJIRI WAKAGUZI WA NDANI 100
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege (Mb) amesema TAMISEMI imewasilisha maombi ya kupata kibali cha ajira ya Wakaguzi wa Ndani 100 ili kutatua changamoto ya uhaba wa watumishi wa Kada hii katika Sekretariet za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Mhe. Kandege ameyasema hayo wakati akifungua …
Soma zaidi »SERIKALI YAJIPANGA KUTEKA SOKO LA WATALII CHINA
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kwa sasa muelekeo wa soko la Utalii nchini umelenga kupata watalii wengi kutoka nchini China na kama Wizara inayoshugulikia masuala ya Utalii, suala la kujifunza lugha ya kichina kwa baadhi ya watumishi na wadau wa utalii ili kuteka soko hilo ni jambo …
Soma zaidi »WAZIRI KALEMANI AWAHAKIKISHIA WAWEKEZAJI KUTOKUKATIKA KWA UMEME
Wizara ya Nishati imewataka wawekezaji binafsi kuwekeza kwenye sekta ya viwanda ili kuongeza tija ya uzalishaji wa bidhaa kwa kuwa sasa Serikali imewekeza kwenye miundombinu ya uzalishaji wa umeme na kwamba hautakatika tena. Waziri wa Nishati Medard Kalemani aliyasema hayo Jijini Dar Es Salaam wakati akizungumza na Wawekezaji wenye …
Soma zaidi »WAZIRI BASHUNGWA AWATOA HOFU WAFANYABIASHARA KUHUSU UBORA WA KOROSHO
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa yupo ziarani katika mikoa ya Mtwara, Lindi, Ruvuma, Pwani na Dar es salaam ili kujionea mwenendo wa hali ya ubora wa zao la korosho kwenye maghala. Mhe Bashungwa amesema kuwa kumekuwa na dhana potofu kwa wananchi katika maeneo mengi kuhusu ubora wa …
Soma zaidi »JAFO AAGIZA UJENZI WA HOSPITAL YA UHURU UANZE MARA MOJA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo(Mb) ameagiza ujenzi wa Hospital ya Uhuru uanze Wiki ijayo Tar.24/06/2019 ili kutimizia ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa Dec, 2018 na kuelekeza fedha kwa ajili …
Soma zaidi »MKUTANO WA KUVUTIA WATALII WAFANYIKA NCHINI CHINA
Mkutano wa kuvutia watalii kutoka China umefanyika leo jijini Beijing na kuhudhuriwa na Tour Operators, Travel Agents na media kutoka Tanzania na China. Mkutano huo umefunguliwa na Balozi wa Tanzania nchini China Nd. Mbelwa Kairuki.
Soma zaidi »MAMENEJA WA TANESCO WATAKIWA KUTEMBELEA VIWANDA KWENYE MAENEO YAO
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ametoa Siku Saba kwa Mameneja wa TANESCO kote nchini kutembelea viwanda kwenye maeneo yao kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwanda hivyo vinapata umeme wa uhakika kwa ajili ya uzalishaji na kufanya utatuzi endapo kutakuwa na changamoto ya kutokuwepo kwa umeme kwenye maeneo hayo. Aliyasema …
Soma zaidi »MLOGANZILA YAFANYA UPASUAJI MKUBWA WA KUONDOA VIVIMBE KWENYE UBONGO
Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa vivimbe katika mishipa ya damu kwenye ubongo (cerebral aneurysms) kwa mgonjwa aliyekywa akisumbuliwa na tatizo hilo. Kufanyika kwa upasuaji huu ni hatua ya kuunga mkono juhudi za Serikali ya Awamu ya Tano ya kupunguza rufaa za wagonjwa …
Soma zaidi »WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AKUTANA NA WAWEKEZAJI TOKA UTURUKI
Waziri wa Viwanda na Biashara Innocent Bashungwa amekutana na ujumbe wa wafanyabiashara toka nchini Uturuki katika ofisi za Kiuo cha Uwekezaji (TIC). Ujumbe huo ulioongozwa na balozi wa Uturuki nchini Mheshimiwa Ali Davutaglu ulihusisha wafanyabiashara wa sekta za ujenzi, utalii, chakula na viwanda mbalimbali. Wafanyabiashara hao walielezea sifa ya Tanzania …
Soma zaidi »