MKUTANO WA KUVUTIA WATALII WAFANYIKA NCHINI CHINA

CH
Mkurugenzi Mtendaji Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bibi Devota Mdachi akizungumza katika Mkutano wa kuvutia watalii kutoka China
CH
Wawakilishi wa Makampuni ya Utalii ya Tanzania ya We Connect Group; Vagary Safaris; Wildquest Tours; Insight Vacations;Serena Hotels; Adenture Baloon; Masailand; Samless-wakielezea “packages” zao katika mkutano wa kutangaza utalii uliofanyika  Beijing
  • Mkutano wa kuvutia watalii kutoka China umefanyika leo jijini Beijing na kuhudhuriwa na Tour Operators, Travel Agents na media kutoka Tanzania na China. Mkutano huo umefunguliwa na Balozi wa Tanzania nchini China Nd. Mbelwa Kairuki.
CH 3-01
Tour Operators wakinadi “packages” zao katika soko la China
CH
Wawakilishi wa Makampuni ya Utalii ya Tanzania ya We Connect Group; Vagary Safaris; Wildquest Tours; Insight Vacations;Serena Hotels; Adenture Baloon; Masailand; Samless-wakielezea “packages” zao katika mkutano wa kutangaza utalii uliofanyika  Beijing
CH
Wawakilishi wa Makampuni ya Utalii ya Tanzania ya We Connect Group; Vagary Safaris; Wildquest Tours; Insight Vacations;Serena Hotels; Adenture Baloon; Masailand; Samless-wakielezea “packages” zao katika mkutano wa kutangaza utalii uliofanyika  Beijing
CH
Wawakilishi wa Makampuni ya Utalii ya Tanzania ya We Connect Group; Vagary Safaris; Wildquest Tours; Insight Vacations;Serena Hotels; Adenture Baloon; Masailand; Samless-wakielezea “packages” zao katika mkutano wa kutangaza utalii uliofanyika  Beijing
CH
Wawakilishi wa Makampuni ya Utalii ya Tanzania ya We Connect Group; Vagary Safaris; Wildquest Tours; Insight Vacations;Serena Hotels; Adenture Baloon; Masailand; Samless-wakielezea “packages” zao katika mkutano wa kutangaza utalii uliofanyika  Beijing
CH
Wadau mbalimbali wakifatilia mkutano wa kutangaza vivutio vya utalii
Ad

Unaweza kuangalia pia

ZANZIBAR NA ANGOLA KUSHIRIKIANA KWENYE SEKTA YA UTALII

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameupongeza uwamuzi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *