Soma zaidi »
Maktaba ya Mwaka: 2019
SERIKALI HAINA MPANGO WA KUONGEZA MIKOA MIPYA – RAIS MAGUFULI
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema Serikali haina mpango wa kuongeza maeneo ya utawala ikiwemo kuanzisha mikoa mipya na badala yake imejipanga kuimarisha huduma na mahitaji ya miundombinu iliyopo ili kuwaletea maendeleo wananchi. Amezungumza hayo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma katika hafla ya uzinduzi wa barabara ya Namtumbo-Kilimasera-Matemanga-Tunduru yenye urefu wa …
Soma zaidi »UJENZI WA HOSPTALI YA WILAYA YA ILEMELA UMEFIKIA ASILIMIA 15
TAASISI YA MIFUPA (MOI) NA BMVSS YA INDIA KUTOA MIGUU BANDIA 600 BURE
Taasisi ya Mifupa MOI kwa kushirikiana na Taasisi ya BMVSS ya India wataendesha zoezi la kutoa miguu bandia 600 BURE. taarifa zinaksema wote wenye uhitaji wafike MOI ndani ya mwezi April 2019 kwa vipimo na miguu hiyo itatolewa mwezi May 2019
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA CAMEROON NA MWENYEKITI WA KAMATI TENDAJI YA CPA
HEKARI 127,859 ZIMETENGWA KWA AJILI YA VIWANDA – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ili kutimiza azma ya kufikia uchumi wa kati ifikapo 2025 kupitia sekta ya viwanda, jumla ya ekari 127,859 zimetengwa kwa ajili ya matumizi ya viwanda. Vilevile, Waziri Mkuu amesema Serikali kwa kushirikiana na Mamlaka za upangaji za Halmashauri za Wilaya za Kibaha na Kilosa, imetenga …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA UFUNGUZI WA BARABARA YA NAMTUMBO-MATEMANGA- TUNDURU KM 193.
MAPENDEKEZO BAJETI YA SERIKALI 2019/2020 KUZINGATIA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa mapendekezo ya Bajeti ya Serikali yanazingatia Mpango wa Maendeleo wa Taifa sanjari na utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi. Amesema hayo Bunge jijini Dodoma alipokuwa akiwasilisha Hotuba ya Mapitio na Mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya Mapato na Matumizi ya fedha za Ofisi …
Soma zaidi »SERIKALI KUPAMBANA KUMKOMBOA MWANANCHI MNYONGE – DKT. MAHIGA
Serikali itafanya kila lililo ndani ya uwezo wake ili kumkomboa mwananchi mnyonge ili kila mtu apate haki na kuwa sawa na mwingine na ashiriki kujenga uchumi wa viwanda. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga amesema hayo alipokuwa akizungumza na wasajili wasaidizi wa watoa huduma ya msaada …
Soma zaidi »