Soma zaidi »
Maktaba ya Mwaka: 2019
SERIKALI YAONYA WATOAJI NA WAPOKEA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2019
Serikali imeonya kuwa haitakuwa na msalie mtume na mtu,chama cha siasa ama kikundi chochote kitakachojihusisha na rushwa kabla,wakati na baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka huu 2019 pamoja na Uchaguzi mkuu wa 2020. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AWASILI CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KAMPASI YA ZANZIBAR BUBUBU
DKT. KIJAJI-MZUNGUKO WA FEDHA KATIKA SOKO UKO IMARA
Serikali imesema kuwa kwa sasa nchi haina tatizo la mzunguko mdogo wa fedha katika soko kutokana na hatua mbalimbali ilizozichukua kukabiliana na tatizo hilo ikiwemo kuongeza ukwasi kwenye uchumi. Hayo yameelezwa Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), alipokuwa akijibu swali la …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI AKIZINDUA VITUO VYA AFYA 352 NCHINI
https://youtu.be/D26WEET6ijM
Soma zaidi »LIVE :CHUO CHA KITANGALI MTWARA – RAIS DKT. JOHN MAGUFULI ANAENDELEA NA ZIARA
JAJI MSTAAFU MARK BOMANI AWATAKA WATANZANIA KUCHANGIA FURSA KATIKA SEKTA YA MADINI
Mwanasheria mkuu wa kwanza Tanzania Jaji Mstaafu Mark Bomani amewataka watanzania kuchangamkia fursa ya mabadiliko ya sheria katika sekta za maliasili na madini yaliyofanyika hivi karibuni,kutokana na sheria hizo kuweka mazingira ya usawa (win – win situation)tofauti na sheria zilizokuwepo awali kutoa kipaumbele kwa wawekezaji kutoka Nje ya nchi. Jaji …
Soma zaidi »LIVE CATCH UP: NEWALA MTWARA – RAIS DKT. JOHN MAGUFULI ANAENDELEA NA ZIARA
https://youtu.be/D26WEET6ijM
Soma zaidi »