Maktaba ya Mwaka: 2020

TANI 20,000 ZA SUKARI ZIMESHUSHWA MWANZA – WAZIRI BASHUNGWA

Waziri wa viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa hakutakuwa na uhaba wa sukari tena na kuwataka wananchi wasiwe na hofu juu ya sukari na kwa wauzaji kuzingazitia bei elekezi. Mhe.Bashungwa ameyasema hayo Tarehe 14 mai 2020 alipofika katika bandari ya Mwanza kusini na kushuhudia Shehena ya Sukari …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI NYONGO AWATAKA VIONGOZI WA VIJIJI KUSHIRIKI KUTOA ELIMU YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI KUPUNGUZA MIGOGORO

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ameutaka uongozi wa Kijiji cha Buhunda maarufu kama Lushokela kilichocho wilayani Misungwi mkoani Mwanza kutoa elimu ya uwekezaji kwa wananchi wake ili kuwa na uelewa juu ya masuala ya uwekezaji katika sekta ya madini. Naibu Waziri Nyongo alitoa maelekezo hayo Aprili 12, 2020 alipotembelea …

Soma zaidi »

SERIKALI YATANGAZA BEI ELEKEZI YA CHANJO 13 ZA MAGONJWA YA MIFUGO

Serikali imetangaza bei elekezi ya chanjo 13 za magonjwa ya mifugo ya kimkakati ambapo sasa wafugaji watapa ahueni kubwa kwa kutumia gharama ndogo kupata chanjo hizo huku Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akitaka bodi ya Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania TVLA kuhakikisha Kliniki za mifugo zinajengwa kwenye …

Soma zaidi »

WAZIRI BASHUNGWA – WAMILIKI WA VIWANDA ZALISHENI VIFAA KINGA VYA KUTOSHA KUKABILIANA NA CORONA

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa akiongea katika kikao hicho kilichowakutanisha wamiliki wa viwanda vya vifaa kinga ambapo amewapongeza wamiliki wa viwanda vya dawa,vifaa na vifaa tiba kuzalisha vifaa kinga Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh. Innocent Bashungwa Pamoja na Waziri wa Afya  Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee …

Soma zaidi »

SHERIA YA KODI YATOA MSAMAHA KWA MAPATO YASIYOZIDI MILIONI 4 KWA MWAKA

Na. Josephine Majura na Saidina Msangi, WFM, Dodoma Serikali imeeleza kuwa Sheria ya Kodi imetoa msamaha wa kodi kwa wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na wastaafu ambao mapato yao kwa mwaka hayazidi Shilingi milioni nne. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu …

Soma zaidi »

UJENZI KIWANDA CHA KUCHAKATA DHAHABU WASHIKA KASI MKOANI MWANZA

Mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kuchakata madini ya dhahabu nchini umeshika kasi huku ujenzi wake ukitarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Septemba 2020 na kuifanya dhahabu ya Tanzania kusafirishwa ikiwa tayari imechakatwa na hivyo kuongeza thamani ya madini hayo katika soko la dunia.Ujenzi wa kiwanda hicho ulianza rasmi mwezi Machi, 2020 …

Soma zaidi »

TANESCO KUTUMIA BIL.1.2 KUBORESHA UMEME KIWANDA CHA SUKARI MTIBWA

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa serikali imetenga shilingi za kitanzania Bilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme utakaokuwa ukitumiwa na kiwanda cha sukari peke yake, katika kuendesha shughuli za uzalishaji.  Amesema hayao alipotembelea kiwanda cha Sukari Mtibwa, ambapo amesema kuwa njia hiyo ya …

Soma zaidi »