PROF. MKUMBO AKUTANA NA WASAFIRISHAJI,WAINGIZAJI NA WATOAJI WA MIZIGO BANDARINI NA KUSIKILIZA CHANGAMOTO ZINAZOATHIRI HALI YA BIASHARA NCHINI

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amekutana na kufanya kikao na wadau mbalimbali wa usafirishaji, uingizaji na utoaji wa mizigo bandarini. 

Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kililenga kujadili kwa pamoja changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo wadau hao ambazo zimekuwa zikiathiri mazingira na hali ya biashara hapa nchini. 

“Serikali haifanyi biashara, hivyo haiwezi kukuza biashara bila mchango wa sekta binafsi na bandari ndio mlango mkuu wa uchumi wa nchi na hauwezi kusema unaboresha mazingira ya biashara kama hujagusa kuiboresha bandari” 

Ad
Wadau mbalimbali wa usafirishaji, uingizaji na utoaji wa mizigo bandarini wakiwa katika kikao na Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo kilicholenga kujadili kwa pamoja changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo ambazo zimekuwa zikiathiri mazingira na hali ya biashara hapa nchini, mei 03, 2021 Da ees salaam

“Tunaamini kwamba, tukiweka mazingira mazuri ya kufanya biashara kwa wafanyabiashara wetu, biashara zitakua na biashara zikikua, uchumi wa nchi unakua na uchumi ukikua mapato ya nchi yanaongezeka zaidi” amesema Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo

Aidha, kikao hicho kilitumika kupokea maoni mbalimbali kutoka kwa wadau hao kuhusu utendaji wa majukumu yanayofanywa na Shirika la Viwango Tanzania TBS katika Bandari ya Dar es Salaam, hususan jukumu jipya la ukaguzi wa magari yanayoingizwa nchini.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Bi. Angelina Ngalula (Kulia) akitoa maoni mbalimbali katika kikao na Wadau mbalimbali wa usafirishaji, uingizaji na utoaji wa mizigo bandarini na Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo kilicholenga kujadili kwa pamoja changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo ambazo zimekuwa zikiathiri mazingira na hali ya biashara hapa nchini, mei 03, 2021 Da ees salaam

Naye, Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Bi. Angelina Ngalula amelalamikia utaratibu na utoaji wa huduma wa Shirika la Wakala wa Meli nchini (TASAC) pindi wanapowahudumia wateja wao huku akiomba kuwekwa kwa utaratibu mzuri ambayo utawasidia kufanyabiashara kufanya biashara bila vikwazo mabimbali vilivyopo sasa katika eneo la bandari kwani ndio moyo wa uchumi wa nchi

Kikao hicho kimefanyika Leo Mei 03, 2021katika ukumbi wa Mikutano wa Bandari ya Dar es salaam na kimehudhuriwa na wadau mbalimbali na wawakirishi wa Taasisi za TAFFA- Tanzania freight forwarding Association, TATOA- Tanzania Truck Owners Association, TASAA- Tanzania Shipping agency’s Association, CIDAT- Container Inland Deports Associations of Tanzania, TSC- Tanzania Shippers Council, TICTS- Tanzania International Container Terminal Services.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

57 Maoni

  1. The story of Leo Messi https://inter-miami.lionelmessi.ae‘s transfer to Inter Miami began long before the official announcement. Rumors about Messi’s possible departure from Barcelona appeared in 2020

  2. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  3. N’Golo Kante https://al-ittihad.ngolokante-ar.com the French midfielder whose career has embodied perseverance, hard work and skill, has continued his path to success at Al-Ittihad Football Club, based in Saudi Arabia.

  4. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  5. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  6. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *