Maktaba ya Kila Siku: May 13, 2021

ZAIDI YA BILIONI 7 ZATUMIKA KUFIKISHA UMEME KISIWA KILICHOPO ZIWA TANGANYIKA

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kupitia Nakuroi Investment Co. Ltd inayotekeleza Mradi wa awamu ya tatu mzunguko wa kwanza wanaendelea na zoezi la kulaza nyaya chini ya maji katika ziwa Tanganyika ili kufikisha umeme katika kisiwa cha Mandakerenge, kilichopo kata ya Kipili Wilayani Nkasi, Mkoani Rukwa. Zoezi hilo litakalogharimu zaidi …

Soma zaidi »

MCHENGERWA AZITAKA TAASISI ZA KIFEDHA KUTOA MIKOPO KUPITIA HATIMILIKI ZINAZOTOLEWA NA MKURABITA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amezitaka taasisi za kifedha nchini kutoa mikopo kwa wananchi wenye hatimiliki za kimila zinazotolewa na Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA) ili kuwawezesha wananchi hao kuendesha shughuli zao na …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AZITAKA TPA, TRA, TASAC NA EGA ZIFANYE KAZI KWA USHIRIKIANO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania, Mamlaka ya Bandari Tanzania na Mamlaka ya Serikali Mtandao kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuboresha utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam Ameyasema hayo (Jumatano, Mei 12, 2021) alipotembelea bandari ya Dar es Salaam ili kuona utendaji wa bandari hiyo. “TPA …

Soma zaidi »