Maktaba ya Kila Siku: May 17, 2021

PROGRAMU TUMIZI YA SIMU ZA MKONONI (MOBILE APP) YA MFUMO WA ANWANI NA POSTIKODI YATAMBULISHWA KWA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula na timu yake ya wataalamu wametoa wasilisho la programu tumizi ya simu za mkononi (Mobile App) ya Mfumo wa Anwani za Makazi na Postikodi pamoja na hatua iliyofikiwa ya usimikaji wa Mfumo huo nchini kwa Wakurugenzi wa …

Soma zaidi »

URUSI: MATATIZO YA AFRIKA YATATULIWE NA WAAFRIKA WENYEWE

Na Mwandishi wetu, Dar Shirikisho la Urusi limesema linaunga mkono jitihada zinazofanywa na Umoja wa Afrika katika kutatua changamoto zinazolikabili bara hilo kwa kuwa matatizo ya Afrika yanahitaji kutatuliwa na Waafrika wenyewe bila kuingiliwa na Mataifa mengine. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Mjumbe Maalum wa Rais wa Shirikisho …

Soma zaidi »