Maktaba ya Kila Siku: August 24, 2021

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MPYA WA ZAMBIA NA RAIS UHURU KENYATA WA KENYA JIJINI LUSAKA ZAMBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Uhuru Kenyata wa Kenya walipokutana kwenye Sherehe ya …

Soma zaidi »

DKT. ANNA MAKAKALA ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA UHAMIAJI MAKAO MAKUU DODOMA

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini CGI Dkt. Anna Makakala ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la Uhamiaji Makao Makuu linaloendelea kujengwa Jijini Dodoma chini ya kampuni ya ujenzi ya SUMAJKT.CGI Dkt. Makakala ameyasema hayo mapema leo hii alipokutana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajab Mabele …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS ASHUHUDIA UTIAJI SAINI KUONDOA HOJA ZA MUUNGANO ZILIZOPATIWA UFUMBUZI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Viongozi mbalimbali walioshiriki katika kutafuta ufumbuzi hoja 11 za Muungano wakati wa Utiaji saini wa hati za makubaliano ya kuondoa hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi. Hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii,Maruhubi, Zanzibar Agosti …

Soma zaidi »