RAIS SAMIA AAGIZA KUPUNGUZWA TOZO ZA MAFUTA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa  kwa tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta  hapa nchini zenye thamani ya shilingi Bilioni 102 kwa mwaka, kwa lengo la kupunguza bei za mafuta ili kuwapa unafuu wananchi.

Rais Samia ametoa maagizo hayo  tarehe 05 Oktoba, 2021 wakati akipokea taarifa kutoka kwa Waziri wa Nishati, January  Y. Makamba kuhusu utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa kwa Wizara hiyo kupitia mwenendo wa biashara ya mafuta na bei zake hapa nchini.

Ad

Utekelezaji wa maagizo hayo umeenda sambamba na marekebisho ya Kanuni mbalimbali zinazohusiana na tozo na yatachapishwa katika Gazeti la Serikali leo tarehe 05 Oktoba, 2021.

Rais  Samia amechukua hatua hii ili kukabiliana na upandaji wa bei za mafuta katika soko la dunia ambapo kwa muda mrefu imekuwa ikipanda kwa kiwango kikubwa na kuathiri watumiaji wa bidhaa hiyo hapa nchini.

Taasisi zinazoguswa na maelekezo ya kupunguzwa kwa tozo hizo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (tozo ya miundombinu), Mamala ya Mapato Tanzania ( tozo ya kuchakata taarifa), Shirika la Viwango Tanzania ( tozo ya kupima ubora wa mafuta kwenye meli na gharama ya uwekaji wa vinasaba kwenye mafuta), Wakala wa Vipimo Tanzania (tozo ya uhakiki wa ujazo wa mafuta melini), Wakala wa Usimamizi wa Meli (tozo ya forodha) na Mamlaka ya Serikali  za Mitaa (ushuru wa huduma kwenye Halmashauri nne zenye maghala ya kupokea mafuta kwa jumla).  Halmashauri hizo ni Kigamboni na Temeke za Jijini Dar es Salaam, Tanga na Mtwara.

Aidha, Rais Samia ameagiza ufanyike mchakato wa haraka wa kupeleka marekebisho ya Sheria Bungeni endapo zipo Sheria nyingine zinazohitaji marekebisho ya haraka katika kukabiliana na kupanda kwa bei za mafuta  hapa nchini,  ili kumlinda mtanzania na gharama za maisha zinazotokana na  kupanda kwa bei ya mafuta.

Mkutano huo umehudhuriwa na Waziri wa Nishati January Y. Makamba, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu. L. Nchemba, Waziri wa Viwanda na Biashara  Prof. Kitila A. Mkumbo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Ummy A. Mwalimu, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame M. Mbarawa, Naibu Waziri wa Nishati  Stephen L. Byabato, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer M. Feleshi, Katibu Mkuu Wizara ya Niashati Mhandisi Leonard R. Masanja, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhe. Kheri A. Mahimbali  na watendaji wa Taasisi mbalimbali.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awakaribisha Wawekezaji Katika Nishati ya Jotoardhi Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji …

42 Maoni

  1. Latest news and details about the NBA in Azerbaijan https://nba.com.az. Hot events, player transfers and the most interesting events. Explore the world of the NBA with us.

  2. Discover the fascinating world of online games with GameHub Azerbaijan https://online-game.com.az. Get the latest news, reviews and tips for your favorite games. Join our gaming community today!

  3. Pin Up Casino https://pin-up.ergojournal.ru приглашает игроков зарегистрироваться на официальном сайте и начать играть на деньги в лучшие игровые автоматы, а на зеркалах онлайн казино Пин Ап можно найти аналогичную витрину слотов

  4. Открой мир карточных игр в Pin-Up https://pin-up.porsamedlab.ru казино Блэкджек, Баккара, Хило и другие карточные развлечения. Регистрируйтесь и играйте онлайн!

  5. Pinup казино https://pin-up.vcabinet.kz это не просто сайт, а целый мир азартных развлечений, где каждый может найти что-то свое. От традиционных игровых автоматов до прогнозов на самые популярные спортивные события.

  6. Официальный сайт Pin Up казино https://pin-up.nasledie-smolensk.ru предлагает широкий выбор игр и щедрые бонусы для игроков. Уникальные бонусные предложения, онлайн регистрация.

  7. Vinicius Junior https://vinisius-junior.com.az player news, fresh current and latest events for today about the player of the 2024 season

  8. Welcome to the site dedicated to Michael Jordan https://michael-jordan.com.az, a basketball legend and symbol of world sports culture. Here you will find highlights, career, family and news about one of the greatest athletes of all time.

  9. Lev Ivanovich Yashin https://lev-yashin.com.az Soviet football player, goalkeeper. Olympic champion in 1956 and European champion in 1960, five-time champion of the USSR, three-time winner of the USSR Cup.

  10. The latest top football news https://football-kz.kz today. Interviews with football players, online broadcasts and match results, analytics and football forecasts, photos and videos.

  11. Latest news from World of Warcraft https://wow-kz.kz (WOW) tournaments, strategy and game analysis. The most detailed gaming portal in the language.

  12. Доставка груза и грузоперевозки https://tamozhennyy-deklarant.blogspot.com по России через транспортную компанию автотранспортом доступна и для частных лиц. Перевозчик отправит или доставит ваш груз: выгодные тарифы индивидуальный подход из рук в руки 1 машиной.

  13. Latest Counter-Strike 2 news https://counter-strike-kz.kz, watch the most successful tournaments and be the best in the gaming world.

  14. Spider-Man https://spiderman.kz the latest news, articles, reviews, dates, spoilers and other latest information. All materials on the topic “Spider-Man”

  15. News, tournaments, guides and strategies about the latest GTA games https://gta-ar.com. Stay tuned for the best GTA gaming experience

  16. Полезные советы и пошаговые инструкции по строительству https://svoyugol.by, ремонту и дизайну домов и квартир, выбору материалов, монтажу и установке своими руками.

  17. How Karim Benzema https://alIttihad.karim-benzema-cz.com changed the game of Al-Ittihad and Saudi football: new tactics, championship success, increased viewership and commercial success.

  18. Follow Liam Neeson’s career https://hostage.liam-neeson.cz as he fulfills his potential as Brian Mills in the film “Taken” and becomes one of the leading stars of Hollywood action films.

  19. Carlos Vemola https://oktagon-mma.karlos-vemola.cz Czech professional mixed martial artist, former bodybuilder, wrestler and member Sokol.

  20. An article about the triumphant 2023 Ferrari https://ferrari.charles-leclerc.cz and their star driver Charles Leclerc, who became the Formula world champion 1.

  21. Latest GTA game news https://gta-uzbek.com, tournaments, guides and strategies. Stay tuned for the best GTA gaming experience

  22. Explore the extraordinary journey of Kylian Mbappe https://mbappe-real-madrid.com, from his humble beginnings to global stardom.

  23. Latest news about Pele https://mesut-ozil-uz.com, statistics, photos and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  24. Serxio Ramos Garsiya https://serxio-ramos.com ispaniyalik futbolchi, himoyachi. Ispaniya terma jamoasining sobiq futbolchisi. 16 mavsum davomida u “Real Madrid”da markaziy himoyachi sifatida o’ynadi.

  25. The official website where you can find everything about the career of Gianluigi Buffon https://gianluigi-buffon.com. Discover the story of this legendary goalkeeper who left his mark on football history and relive his achievements and unforgettable memories with us.

  26. Coffeeroom https://coffeeroom.by – магазин кофе, чая, кофетехники, посуды, химии и аксессуаров в Минске для дома и офиса.

  27. Find the latest information on Khabib Nurmagomedov https://khabib-nurmagomedov.uz news and fights. Check out articles and videos detailing Khabib UFC career, interviews, wins, and biography.

  28. Discover how Riyad Mahrez https://al-ahli.riyad-mahrez.com transformed Al-Ahli, becoming a key player and catalyst in reaching new heights in world football.

  29. Welcome to our official website, where you will find everything about the career of Gianluigi Buffon https://gianluigi-buffon.org. Discover the story of this legendary goalkeeper who made football history.

  30. The best site dedicated to the football player Paul Pogba https://pogba.org. Latest news from the world of football.

  31. Discover Casper Ruud’s https://tennis.casper-ruud-fr.com journey from his Challenger debut to the top 10 of the world tennis rankings. A unique success.

  32. Единственная в России студия кастомных париков https://wigdealers.ru, где мастера индивидуально подбирают структуру волос и основу по форме головы, после чего стригут, окрашивают, делают укладку и доводят до идеала ваш будущий аксессуар.

  33. Achraf Hakimi https://paris-saint-germain.ashrafhakimi.net is a young Moroccan footballer who quickly reached the football elite European in recent years.

  34. In the world of professional tennis, the name of Gustavo Kuerten https://roland-garros.gustavokuerten.com is closely linked to one of the most prestigious Grand Slam tournaments – Roland Garros.

  35. Earvin “Magic” Johnson https://los-angeles-lakers.magicjohnson.biz is one of the most legendary basketball players in history. NBA history.

  36. Luka Modric https://real-madrid.lukamodric-ar.com can certainly be called one of the outstanding midfielders in modern football.

  37. Angel Di Maria https://benfica.angel-di-maria-ar.com is a name that will forever remain in the memories of Benfica fans.

  38. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  39. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  40. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

  41. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *