Maktaba ya Mwaka: 2021

WAZIRI MHAGAMA ATOA WIKI MBILI CHANGAMOTO MRADI WA MKULAZI KUTATULIWA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama ameiagiza kamati elekezi ya Kusimamia Mradi wa Mkulazi Estate, kuhakikisha ndani ya wiki mbili ujenzi wa barabara na uwekaji umeme kwenye eneo la mradi huo, ili kuruhusu shughuli za utekelezaji wa mradi …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: RC NJOMBE FUATILIA MADAI YA WAKULIMA WA CHAI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Mwita Rubirya afuatilie na kuchukua hatua kwa baadhi ya viwanda vya chai vinavyonunua majani mabichi ya chai ambavyo vimekuwa vikichelewesha malipo ya wakulima ahakikishe vinawalipa kwa wakati. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo ianzishe minada ya kuuza …

Soma zaidi »

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA GAVANA WA MOMBASA KENYA, IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Gavana wa Mombasa Kenya Mhe. Ali Hassan Joho, (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe  wake wa Wafanyabiashara kutoka Kenya, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti …

Soma zaidi »

KINONDONI YAPONGEZWA KWA KUTENGA FEDHA KWA AJILI YA MIKOPO YA WANAWAKE, VIJANA NA WALEMAVU

Pongezi hizo zimetolewa leo na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo alipokuwa akikabidhi hundi ya kiasi cha tsh takribani Bilioni 1.3, kwa ajili ya mikopo ya wanawake, walemavu na vijana robo ya nne,  fedha  zilizotengwa kwa bajeti ya mwaka 2021. Amesema Kinondoni inaonesha dhamira ya dhati katika kuhakikisha …

Soma zaidi »

MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA KWA MATUMIZI YA BINADAMU NA WANYAMA, NA YANAKIDHI VIGEZO VYOTE VYA KIMATAIFA – BASHE

Ameandika Naibu Waziri Hussein Bashe kuhusu mahindi ya Tanzania: Salaam Ndg. zangu nataka niseme kuwa Mahindi ya Tanzania ni Salama kwa matumizi ya Binadamu na Wanyama,na yanakidhi vigezo vyote vya Kikanda na kimataifa. Biashara ni suala la hiari, wanaweza kununua au kutonunua kutoka kwetu. Kinachotusumbua sisi ni kauli ya upotoshaji …

Soma zaidi »