Maktaba ya Mwezi: April 2024

MAFANIKIO YA SERIKALI YA TANZANIA KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO NA UKUAJI WA MIRADI YA UWEKEZAJI: RIPOTI YA JULAI 2023 – JANUARI 2024

Ukusanyaji wa Mapato. Ripoti inabainisha mafanikio ya Serikali katika kukusanya mapato ya ndani, ambapo kati ya Julai 2023 na Januari 2024, Serikali ilifanikiwa kukusanya shilingi trilioni 17.1, sawa na asilimia 95.9 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 17.9. Hii inaashiria kiwango cha juu cha ufanisi katika ukusanyaji wa mapato, ambapo …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa Bi. Doris Mollel ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel kuhusu vifaa vya kutunza watoto njiti wakati Makamu wa Rais akikagua mabanda mbalimbali kwenye Mkutano wa WomenLift Health 2024 unaofanyika katika Kituo cha …

Soma zaidi »

Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Haki za Watoto

Tarehe 4 hadi 5 Aprili 2024, umefanyika Mkutano wa Tatu wa Jukwaa la Haki za Watoto katika Hoteli ya Four Points, Jijini Arusha. Mkutano huu ulikuwa na lengo la kujadili masuala yanayohusu ulinzi na ustawi wa watoto katika mifumo ya kisheria nchini Tanzania. Mkutano huo uliendeshwa na Mheshimiwa Dkt. Pindi …

Soma zaidi »

TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI, KULINDA NA KUSIMAMIA FARAGHA YA TAARIFA ZA KIBINAFSI KATIKA JAMII.

Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni muundo wa kisheria uliowekwa na serikali kwa lengo la kusimamia na kulinda taarifa za kibinafsi za watu katika jamii. Hii inaonyesha kutambua umuhimu wa faragha na haki za kibinafsi za watu katika enzi ya kidijitali ambapo data zetu zinahifadhiwa na kusindikwa kwa kiwango …

Soma zaidi »