RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA DKT. PHUMZILE MLAMBO MSAIDIZI WA KATIBU MKUU WA UN

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Mei, 2021.
Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake (UN Women) Dkt.  Phumzile Mlambo Ngcuka akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu-Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka mara baada ya mazungumzo yao Ikulu leo tarehe 28 Mei, 2021.
Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Wanawake UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Ad

Unaweza kuangalia pia

Matumizi ya Nishati Mbadala kwa Kupikia na Shughuli Nyingine Zafungua Mustakabali Mpya wa Kimazingira Tanzania

Kutumia nishati mbadala kwa kupikia na shughuli nyingine ni muhimu sana kwa Tanzania kutokana na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *