SERIKALI IMERIDHIA OMBI LA WAKAZI WA MAGOMENI KOTA KUNUNUA NYUMBA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Msanifu majengo Daud Kondoro wakati alipokuwa akitoa maelezo kuhusu hatua mbalimbali za Ujenzi wa Nyumba 644 katika eneo la Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akikabidhi mfano wa Ufunguo kwa Bibi Mwajuma Sama na Mzee Henry Ngwemba kwa ajili ya kuwakabidhi Nyumba mara baada ya kuzindua rasmi mradi wa Nyumba 644 Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akikagua mradi wa Nyumba 644 zilizojengwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo Tanzania TBA katika eneo la Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Dar Es salaam baada ya kuzindua mradi wa Nyumba 644 zilizojengwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo Tanzania TBA katika eneo la Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022.
Sehemu ya Wananchi pamoja na Wakazi wa Magomeni Kota Mkoani Dar es Salaam wakihudhuria Sherehe za uzinduzi wa Nyumba 644.

Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la wakazi wa Magomeni Kota la kununua nyumba zilizojengwa na Serikali kupitia Wakala wa Majengo Tanzania (TBA,) katika eneo hilo kwa kutoa maelekezo kwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuruhusu wakazi hao kununua nyumba hizo kwa utaratibu wa Mpangaji-Mnunuzi kwa kurejesha fedha ya ujenzi pekee bila gharama ya ardhi.


Rais Samia ameyasema hayo leo jijini Dar es Salaam wakati akizindua nyumba 644 zilizopo katika eneo la Magomeni Kota na kueleza kuwa kama ilivyoahidiwa na mtangulizi wake Hayati Dkt. John Joseph Magufuli  wakazi hao wataishi miaka mitano bure na kwa miezi mitatu ya awali hawatachangangia gharama za huduma jumuishi.

Ad
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Africa50, Alain Ebobisse aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Africa50, Alain Ebobisse aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 23 Machi, 2022.


”Nimeridha kuwa baada ya miaka mitano wananchi wa Magomeni Kota kuuziwa nyumba hizi kwa utaratibu wa  Mpangajii-Mnunuzi na kurejesha gharama za ujenzi pekee, hatutawatoza gharama ya ardhi kwa sababu tukifanya hivyo mtashindwa kuzinunua.” Amesema.


Aidha amesema, kwa wakazi ambao wapo tayari kulipa gharama za ununuzi wa nyumba hizo wanaruhusiwa kulipa kidogo kidogo bila riba huku wakiendelea kuishi katika makazi hayo.
Kuhusiana na utunzaji wa mradi huo Rais Samia amewataka wakazi hao kuzingatia usafi na kudumisha upendo na mshikamano


”Ninawaomba mtunze mradi huu kwa kuzingatia usafi wa nyumba hizi ambao ni dhamana yenu kwa sasa, nyumba kama hizi tunategemea mpikie gesi hatutegemei mpikie kuni katika maghorofa haya.” Amesema.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

85 Maoni

  1. Carlos Alcaraz https://tennis.carlos-alcaraz-fr.biz from a talented junior to the ATP top 10. His rise is the result of hard work, support and impressive victories at major world tournaments.

  2. Discover Casper Ruud’s https://tennis.casper-ruud-fr.com journey from his Challenger debut to the top 10 of the world tennis rankings. A unique success.

  3. The legendary boxing world champion Mike Tyson https://ufc.mike-tyson-fr.biz made an unexpected transition to the UFC in 2024, where he rose to the top, becoming the oldest heavyweight champion.

  4. The astonishing story of Emmanuel Macron’s https://president-of-france.emmanuel-macron-fr.com political rise from bank director to the highest office in France.

  5. Max Verstappen and Red Bull Racing’s https://red-bull-racing.max-verstappen-fr.com path to success in Formula 1. A story of talent, determination and team support leading to a championship title.

  6. Olympique de Marseille https://liga1.marseilles-fr.com after several years in the shadows, once again becomes champion of France. How did they do it and what prospects open up for the club

  7. The fascinating story of the creation and meteoric rise of Amazon https://amazon.jeff-bezos-fr.com from its humble beginnings as an online bookstore to its dominant force in the world of e-commerce.

  8. A fascinating story about how Elon Musk https://spacex.elon-musk-fr.com and his company SpaceX revolutionized space exploration, opening new horizons for humanity.

  9. The iconic Anfield https://enfield.liverpool-fr.com stadium and the passionate Liverpool fans are an integral part of English football culture.

  10. The fascinating story of the phenomenal rise and meteoric fall of Diego Maradona https://napoli.diegomaradona.biz, who became a cult figure at Napoli in the 1980s.

  11. Лучшие пансионаты для пожилых людей https://ernst-neizvestniy.ru в Самаре – недорогие дома для престарелых в Самарской области

  12. Midfielder Rafael Veiga leads https://manchester-city.philfoden-br.com Palmeiras to success – the championship Brazilian and victory in the Copa Libertadores at the age of 24.

  13. Fabrizio Moretti https://the-strokes.fabriziomoretti-br.com the influential drummer of The Strokes, and his unique sound revolutionized the music scene, remaining icons of modern rock.

  14. Achraf Hakimi https://paris-saint-germain.ashrafhakimi.net is a young Moroccan footballer who quickly reached the football elite European in recent years.

  15. Victor Osimhen https://napoli.victorosimhen-ar.com born on December 29, 1998 in Lagos, Nigeria, has grown from an initially humble player to one of the brightest strikers in modern football.

  16. Robert Lewandowski https://barcelona.robertlewandowski-ar.com is one of the most prominent footballers of our time, and his move to Barcelona has become one of the most talked about topics in world football.

  17. The story of Leo Messi https://inter-miami.lionelmessi.ae‘s transfer to Inter Miami began long before the official announcement. Rumors about Messi’s possible departure from Barcelona appeared in 2020

  18. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  19. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  20. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  21. Сайт https://ps-likers.ru предлагает уроки по фотошоп для начинающих. На страницах сайта можно найти пошаговые руководства по анимации, созданию графики для сайтов, дизайну, работе с текстом и фотографиями, а также различные эффекты.

  22. Kobe Bryant https://los-angeles-lakers.kobebryant-ar.com also known as the “Black Mamba”, is one of the most iconic and iconic figures in NBA history.

  23. RDBox.de https://rdbox.de bietet schallgedammte Gehause fur 3D-Drucker, die eine sehr leise Druckumgebung schaffen – nicht lauter als ein Kuhlschrank. Unsere Losungen sorgen fur stabile Drucktemperatur, Vibrationsisolierung, Luftreinigung und mobile App-Steuerung.

  24. Karim Benzema https://al-ittihad.karimbenzema.ae is a name worthy of admiration and respect in the world of football.

  25. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  26. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  27. Upcoming fantasy MOBA https://bladesofthevoid.com evolved by Web3. Gacha perks, AI and crafting in one swirling solution!

  28. Bella Hadid https://img-models.bella-hadid-ar.com is an American model who has emerged in recent years as one of the most influential figures in the world of fashion.

  29. Edson Arantes https://santos.pele-ar.com do Nascimento, known as Pele, was born on October 23, 1940 in Tres Coracoes, Minas Gerais, Brazil.

  30. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  31. Priyanka Chopra https://baywatch.priyankachopra-ar.com is an Indian actress, singer, film producer and model who has achieved global success.

  32. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

  33. Muhammad Ali https://american-boxer.muhammad-ali-ar.com is perhaps one of the most famous and greatest athletes in the history of boxing.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *