Mapitio ya Utekelezaji na Mwenendo wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024

A. MUUNDO NA MAJUKUMU YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

1. Mheshimiwa Spika,muundo na majukumu ya Wizara yameainishwa katika ibara ya 17 na 18ya Kitabu cha Hotuba yangu.

Ad

B. MAPITIO YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI YA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

2. Mheshimiwa Spika, masuala yaliyozingatiwa na maeneo ya kipaumbele katika Mwaka wa Fedha 2023/2024 yameainishwa katika ibara ya 19 na 20 ya Hotuba yangu.

C. MWENENDO WA BAJETI NA FEDHA ZILIZOPOKELEWA NA WIZARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 Makusanyo ya Maduhuli

3. Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2023/2024, Wizara pamoja na Taasisi za Wizara ilipanga kukusanya maduhuli yenye jumla ya Shilingi 12,676,201,000 (bilioni 12.68). Hadi kufikia Aprili, 2024 jumla ya Shilingi 7,515,601,174 (bilioni 7.5) zimekusanywa sawa na asilimia 59.29 ya lengo la makusanyo ya maduhuli kwa mwaka 2023/2024 ambayo ni sawa ya asilimia 71.15 ya lengo la kipindi cha miezi kumi.

Bajeti Iliyoidhinishwa

4. Mheshimiwa Spika, Katika mwaka wa fedha 2023/2024, Wizara iliidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 383,619,511,000 (bilioni 383.62) kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo. Kati ya fedha hizo Shilingi 97,815,618,000 (bilioni 97.82) ni kwa ajili ya mishahara ya Watumishi, Shilingi 176,148,324,000 (bilioni 176.15) ni kwa ajili ya matumizi mengineyo na Shilingi 109,655,569,000 (bilioni 109.66) ni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Kati ya fedha za maendeleo Shilingi 44,112,800,000 (bilioni 44.11) ni fedha za ndani na Shilingi 65,542,769,000 (bilioni 65.54) ni fedha za nje.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS.DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MJADALA WA KIMATAIFA WA CHAKULA

Katika tukio maalum la Mjadala wa Kimataifa wa Chakula, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …

15 Maoni

  1. Top sports news https://idman-azerbaycan.com.az photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading championships.

  2. Discover the fascinating world of online games with GameHub Azerbaijan https://online-game.com.az. Get the latest news, reviews and tips for your favorite games. Join our gaming community today!

  3. Реальные анкеты проституток https://prostitutki-213.ru Москвы с проверенными фото – от элитных путан до дешевых шлюх. Каталог всех индивидуалок на каждой станции метро с реальными фотографиями без ретуши и с отзывами реальных клиентов.

  4. Usain St. Leo Bolt https://usain-bolt.com.az Jamaican track and field athlete, specialized in short-distance running, eight-time Olympic champion and 11-time world champion (a record in the history of this competition among men).

  5. The latest top football news https://football.sport-news-eg.com today. Interviews with football players, online broadcasts and match results, analytics and football forecasts, photos and videos.

  6. Antoine Griezmann https://atlticomadrid-dhb.antoine-griezmann-cz.com Atletico Madrid star whose talent and decisive goals helped the club reach the top of La Liga and the UEFA Champions League.

  7. Find out how Virgil van Dijk https://liverpool.virgil-van-dijk-cz.com became an integral part of style игры «Liverpool», ensuring the stability and success of the team.

  8. Приветствую. Подскажите, где почитать разные статьи о недвижимости? Пока нашел https://santex-expert.ru

  9. Всем привет! Подскажите, где почитать полезные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://schuconvr.ru

  10. Find the latest information on Conor McGregor https://conor-mcgregor.uz news, fights, and interviews. Check out detailed articles and news about McGregor’s UFC career, wins, training, and personal life.

  11. The rise of 20-year-old midfielder Jamal Musiala https://bavaria.jamalmusiala-br.com to the status of a winger in the Bayern Munich team. A story of incredible talent.

  12. A historia da jornada triunfante de Anitta https://veneno.anitta-br.com de aspirante a cantora a uma das interpretes mais influentes da musica moderna, incluindo sua participacao na serie de TV “Veneno”.

  13. Roberto Firmino https://al-ahli.roberto-firmino-ar.com one of the most talented and famous Brazilian footballers of our time, has paved his way to success in different leagues and teams.

  14. Zinedine Zidane https://real-madrid.zinedine-zidane-ar.com the legendary French footballer, entered the annals of football history as a player and coach.

  15. Mike Tyson https://american-boxer.mike-tyson-ar.com one of the most famous and influential boxers in history, was born on June 30, 1966 in Brooklyn, New York.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *