BARABARA YA MORO – DOM KUFANYIWA USANIFU ILI KUJENGWA UPYA

  • Naibu Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa amesema , Serikali inatarajia kufanya usanifu wa  barabara ya Morogoro- Dodoma yenye urefu wa kilometa zipatazo 259 katika mwaka wa fedha wa 2018/2019 kwa ajili ya kupata michoro na gharama halisi ili kujengwa  upya kwa   viwango  cha ubora   na mahitaji ya sasa .
  • Naibu Waziri alisema hayo  mjini Morogoro  alipofanya ziara ya ukaguzi wa matengenezo ya barabara  katika maeneo mbalimbali kutoka Dodoma hadi Moropgoro  yakiwemo ya Kibaigwa , Gairo  na kuangalia shughuli za  ujenzi wa mizani mpya ya  kisasa  eneo la  Dakawa Magereza  barabara ya Morogoro- Dodoma .
  • Alisema , licha ya kuendelea kuihudumia   barabara kuu hiyo ,  kwa sasa Serikali imekuja na mpango mwingine wa kufanya usanifu kwa mwaka wa fedha wa 2018/2019 ili kupata michoro ambayo itaelezea  gharama halisi ya kujenga barabara mpya katika  kiwango cha ubora na mahitaji ya sasa.
MORO-DOM-2
Naibu Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa ( kaunda suti) akikagua shughuli za ujenzi wa mizani mpya ya kisasa eneo la Dakawa Magereza barabara kuu ya Morogoro- Dodoma hivi karibuni akiongozwa na Mhandisi mkazi wa Kampuni ya uhandisi ya Ambicon , Mustafa Kasmir ( kulia) akiambatana na Meneja wa Wakala wa Barabara ( TANROADS ) mkoa wa Morogoro, Mhandisi Doroth Mtenga ( wapili kushoto) pamoja na Wakala wa Mradi kutoka Kampuni ya Group Six International Ltd , Mhandisi Abdallah Rashid.( Picha na John Nditi).
  • Naibu Waziri alisema,  Serikali inatenga  fedha nyingi kila mwaka fedha kwa ajili ya ukarabati wa barabara kuu ikiwemo ya Morogoro- Dodoma  ili ziweze  kutoa huduma za usafirishaji wa abiria na mizigo ambapo kwa baabara hiyo iliyojengwa miaka zaidi ya 30 iliyopita kwa hali yake ya  sasa imechakaa  na kuzeeka.
  • Akizungumzia ujenzi wa mizani , Naibu Waziri amesema , Serikali itaendelea kujenga   mizani  ya kisasa katika barabara kuu nchini ambayo itapunguza  msongamano  wa magari  na  kuharakisha usafirishaji wa mizigo ,  abiria na pia  kulinda barabara .
  • Naibu Waziri alisema ,mizani ya kisasa inayojengwa na  iliyopo itakatoboreshwa ili ikidhi utoaji wa huduma zote   muhimu kama vituo vya Polisi, TRA, ukaguzi wa magari, upimaji wa ulevi kwa madereva , kuengesha magari na maeneo ya kupumzika madereva .
  • Naye Meneja wa Wakala wa Barabara ( TANROADS )  mkoa wa Morogoro,   Mhandisi Doroth  Mtenga  amesema,  ujenzi  mzani huo wa
MORO-DOM-1
Naibu Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa ( kaunda suti) akisisitiza jambo wakati akikagua shughuli za ujenzi wa mizani mpya ya kisasa eneo la Dakawa Magereza barabara kuu ya Morogoro- Dodoma hivi karibuni na ( wapili kushoto) ni Meneja wa Wakala wa Barabara ( TANROADS ) mkoa wa Morogoro, Mhandisi Doroth Mtenga.
  • kisasa ulianza Oktoba 25, 2017  kwa gharama  ya  Sh  bilioni 14. 784 fedha zilizotolewa na Serikali kuu na hadi sasa  ujenzi wake umefikia  asilimia 70 na kiasi cha malipo kwa mkandarasi kilicholipwa ni Sh bilioni 5.7 sawa na asilimia 40.
  • Mhandisi Mtenga alisema  , mradi huo wa ujenzi wa mizani mbili za kisasa za kupima magari , eneo la Dakawa Magereza  una  majengo mawili  ya ofisi, vibanda viwili vya Polisi , vinne vya mlinzi na vyoo viwili na ni moja wapo ya hatua za kudhibiti na kupunguza uharibifu wa barabara kutokana na magari kuzindisha uzito.
  •  “ Hapa kutakuwa na mzani miwili mmoja  utapima magari yakiwa kwenye mwendo mdogo na utarekodi na kuhifadhi taarifa zote za gari husika  na gari itaruhusiwa kuendelea na safari iwapo hajazidisha uzito na ikiwa uzito umezidi litaelekezwa kwenda kupima kwenye mzani wa kawaida kwa uthibitisho” alisema Mtenga.
MORO-DOM
Naibu Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa ( kaunda suti) akipata maelezo ya Mhandisi mkazi wa Kampuni ya uhandisi ya Ambicon , Mustafa Kasmir ( kulia) alipokagua shughuli za ujenzi wa mizani mpya ya kisasa eneo la Dakawa Magereza barabara kuu ya Morogoro- Dodoma hivi karibuni na ( anayemfuatia Naibu Waziri ) ni Meneja wa Wakala wa Barabara ( TANROADS ) mkoa wa Morogoro, Mhandisi Doroth Mtenga.
  • Hta hivyo alisema , ujenzi huo  ulipangwa ukiamilishwe ifikapo  Januari 24, 2019 , lakini kutoka na  kuchelewa  kupata eneo la upande mmoja wa  ujenzi   kwa zaidi ya miezi sita ambazo zilikuwa nje ya uwezo wa  mkandarasi  kutokana na ardhi kumilikiwa na Taasisi mbili tofauti za Serikali .
  • Mhandisi Mtenga alisema , kwa sasa mkandarasi wamewasilisha ombi la kuongezewa muda hadi Aprili 24, 2019,  na kwamba Wakala  utaendelea kumsimamia ili ujenzi huo ukamilishwe kwa wakati katika muda wa nyongeza ulioombwa.
Ad

Unaweza kuangalia pia

SERIKALI INATARAJIA KUJENGA MINARA 5 YA MAWASILIANO WILAYANI MAFIA

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mh. Injinia Atashasta Nditiye (Mb.) amezindua mnara wa Mawasiliano …

25 Maoni

  1. Maligisa James Dotto

    Kwa kuwa barabara hii inaongoza kwa ajali za barabarani hususan za magari kugongana uso kwa uso, ingefaa zaidi kama ingejengwa njia mbili kutoka Dar hadi Mwanza. Yaani magari yanayotoka Dar yapite upande wake na yanayotoka Mwanza yapite upande wake halafu katikati ya njia hizi mbili pawe na nafasi yenye upana wa kutosha (ambayo inaweza kupandwa miti au nyasi za mapambo), lengo ni kwamba magari yasipishane uso kwa uso kwenye barabara moja kama ilivyo sasa.
    Naamini mfumo wa njia mbili tofauti utapunguza ajali kwa asilimia kubwa sana!

    Ndiyo, gharama ni kubwa lakini tufahamu kuwa uhai wa mtu mmoja una thamani zaidi na hauwezi kulinganishwa na gharama za ujenzi wa barabara hiyo hata kidogo! Pesa zinatengenezwa na watu lakini uhai hauwezi kutengenezwa na watu.

  2. заказать профессиональный аудит сайта http://www.prodvizhenie-sajtov15.ru .

  3. как пожаловаться на телефонных мошенников https://pozhalovatsya-na-moshennikov.ru/ .

  4. голяк смотреть онлайн качестве https://golyak-serial-online.ru

  5. Скачать свежие новинки песен https://muzfo.net 2024 года ежедневно. Наслаждайтесь комфортным прослушиванием, скачивайте музыку за пару кликов на сайте.

  6. Real Madrid midfielder Rodrigo https://rodrygo.prostoprosport-ar.com gave Madrid the lead in the Champions League quarter-final first leg against Manchester City. The meeting takes place in Madrid. Rodrigo scored in the 14th minute after a pass from Vinicius Junior.

  7. Карьерный коуч https://vminske.by/fashion/kto-takie-karernye-konsultanty — эксперт рынка труда, который помогает людям определить свои карьерные цели, развиваться в выбранной области и достигать успеха в профессиональной деятельности.

  8. Vinicius Junior https://viniciusjunior.prostoprosport-ar.com is a Brazilian and Spanish footballer who plays as a striker for Real Madrid and the Brazilian national team. Junior became the first player in the history of Los Blancos, born in 2000, to play an official match and score a goal.

  9. средство для интимной гигиены с молочной кислотой каталог IntiLINE

  10. The best film magazin https://orbismagazine.com, film industry trade publications in 2024 to keep you informed with the latest video production, filmmaking, photographynews. We create beautiful and magnetic projects.

  11. Купити ліхтарики https://bailong-police.com.ua оптом та в роздріб, каталог та прайс-лист, характеристики, відгуки, акції та знижки. Купити ліхтарик онлайн з доставкою. Відмінний вибір ліхтарів: налобні, ручні, тактичні, ультрафіолетові, кемпінгові, карманні за вигідними цінами.

  12. Kyle Andrew Walker https://kylewalker.prostoprosport-br.com English footballer, captain of the Manchester City club and the England national team. In the 2013/14 season, he was on loan at the Notts County club, playing in League One (3rd division of England). Played 37 games and scored 5 goals in the championship.

  13. Laure Boulleau https://laure-boulleau.prostoprosport-fr.com French football player, defender. She started playing football in the Riom team, in 2000 she moved to Isere, and in 2002 to Issigneux. All these teams represented the Auvergne region. In 2003, Bullo joined the Clairefontaine academy and played for the academy team for the first time.

  14. In January 2010, Harry Kane https://harry-kane.prostoprosport-fr.com received an invitation to the England U-team for the first time 17 for the youth tournament in Portugal. At the same time, the striker, due to severe illness, did not go to the triumphant 2010 European Championship for boys under 17 for the British.

  15. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thhibaut-courtois.prostoprosport-fr.com Footballeur belge, gardien de but du club espagnol du Real Madrid . Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Triple vainqueur du Trophee Ricardo Zamora

  16. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thhibaut-courtois.prostoprosport-fr.com Footballeur belge, gardien de but du club espagnol du Real Madrid . Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Triple vainqueur du Trophee Ricardo Zamora

  17. Robert Lewandowski https://robert-lewandowski.prostoprosport-br.com e um futebolista polones, atacante do clube espanhol Barcelona e capitao da selecao polonesa. Considerado um dos melhores atacantes do mundo. Cavaleiro da Cruz do Comandante da Ordem do Renascimento da Polonia.

  18. Приветствую. Подскажите, где найти разные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://ecn-novodom.ru

  19. Приветствую. Подскажите, где почитать полезные блоги о недвижимости? Сейчас читаю https://germes-alania.ru

  20. Всем привет! Может кто знает, где почитать разные статьи о недвижимости? Сейчас читаю https://kolontaevo-club.ru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *