Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

RAIS SAMIA AZINDUA MKAKATI WA UELIMISHAJI NA UHAMASISHAJI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI YA MWAKA 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mpango wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, leo Septemba 14,2021 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan amezindua Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa …

Soma zaidi »

DKT. KIJAJI AIKUMBUSHA MENEJIMENTI YA WIZARA YAKE KUTEKELEZA WAJIBU

Prisca Ulomi na Faraja Mpina, DODOMA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu kijaji ameitaka Menejimenti na watumishi wa Wizara yake itambue kuwa lengo na dhumuni la kuundwa kwa Wizara hiyo ni kuwatumikia wananchi kwa kutekeleza kile kilichoelekezwa kwenye Ilani ya CCM ya 2020-2025 kwa kuzisoma …

Soma zaidi »

SERIKALI WADAU WAKUTANA KUTAFUTA MWAROBAINI KUONDOKANA NA TATIZO LA WATOTO WANAOISHI NA KUFANYA KAZI MITAANI

Inaelezwa kuwa Tanzania inakabiliwa  na tatizo la kuwa na watoto wa mitaani na kwa takwimu zilizopo ni kwamba inakadiriwa kuwa na  idadi ya watoto 35,919 wanaoishi na kufanya kazi mitaani katika majiji na miji mbalimbali licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali pamoja na Wadau kutokomeza tatizo hilo. Hayo yamebainika wakati …

Soma zaidi »

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KAULI YA SERIKALI KWA WENYE MADUKA YA KUBADILISHA FEDHA ZA KIGENI

Kuna habari zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuandikwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari zikieleza kuwa Serikali imewataka wafanyabiashara wote wa maduka ya kubadilishia fedha za kigeni walionyang’anywa vifaa vyao na kikosi kazi kilichotumiwa na Serikali wakati wa kuifunga biashara hiyo waende kuchukua vifaa vyao. Habari hiyo imepotosha kauli …

Soma zaidi »

KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA (NUU) YAPIGWA MSASA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeipiga msasa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) kwa kuipatia mafunzo maalumu yenye malengo mbalimbali hasa maslahi ya Taifa. Pamoja na mambo mengine, mafunzo hayo pia yatajikita  katika masuala ya Itifaki, mawasiliano ya …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AWATAKA WAKUU WA MIKOA KUWAPANGA WAMACHINGA

Rais Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakuu wa Mikoa nchini kuwapanga upya Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Wamachinga, bila kutumia nguvu ili wafanye biashara zao kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Profesa Makame Mbarawa (Mb) kuwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi katika …

Soma zaidi »