Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, MHeshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli yupo kuhudhuria kiapo hicho. Rais wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete naye amehudhuria.
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
MAMA JANETH MAGUFULI ATOA FUTARI KWA AJILI YA FAMILIA ZENYE UHITAJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
WABUNGE WA LINDI NA MTWARA WATOA HOJA KATIKA WARSHA KUHUSU MRADI WA GESI ASILIA ILIYOSINDIKWA (LNG)
Hoja 1. Fidia kwa wananchi Ufafanuzi wa Serikali Fidia ni haki, ni stahiki na ni jambo la kisheria. Kama Serikali, hatuwezi kulipindisha. Tunachofanya ni kujihakikishia kwamba watakaofidiwa ni wale tu wanaostahili kweli. Kutokana na umuhimu wa jambo hili, lazima lifanyike kwa umakini sana. Ipo hatari ya kulipa haraka-haraka, kisha wakajitokeza …
Soma zaidi »UWANJA WA NDEGE TERMINAL 3 WAKAMILIKA KWA ASILIMIA 99.5
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwele amefanya ziara ya kutembelea mradi wa ujenzi wa jengo jipya la 4 la abiria (Terminal 3) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo jijini Dar es Salaam na kuonesha kuridhishwa na usimamizi. Akizungumza na waandishi wa habari …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AIAGIZA UCSAF KUIWEZESHA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO TTCL
Rais Dkt. John Magufuli ameitaka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kutoa kipaumbele katika uwekezaji wa miundombinu ya mawasiliano kwa Kampuni ya Mawasiliano Nchini (TTCL) ili liweze kumiliki idadi kubwa ya minara ya mawasiliano ya simu na kumudu ushindani wa soko la mawasiliano …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATOA SIKU 30 KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WAKUU WA SERIKALI KUTUMIA HUDUMA ZA KAMPUNI YA TTCL
Rais Dkt.John Magufuli siku 30 Ofisi ya Rais-IKULU, Ofisi ya Makamu wa Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Wizara pamoja na Viongozi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma,kutum kutumia huduma za Kampuni ya Mawasiliano ya Simu Nchini (TTCL)ikiwemo laini, ili kupanua huduma za mawasiliano ya Mtandao wa Kampuni hiyo nchini. …
Soma zaidi »LUKUVI ATANGAZA KUPANGWA MAENEO ITAKAPOPITA RELI YA MWENDOKASI (SGR)
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametangaza kupangwa kwa maeneo yote itakapopita reli ya Mwendokasi (SGR) ili shughuli zitakazofanyika katika wilaya na vijiji inapopita reli hiyo kwenda sambamba shughuli za kiuchumi za mradi wa reli hiyo. Aidha, Lukuvi alisema wakati wa kupanga maeneo hayo hakuna mwananchi …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI AKIPOKEA GAWIO KUTOKA SHIRIKA LA SIMU TTCL
MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MEI 20, 2019
UPANUZI CHUO CHA UALIMU PATANDI KUPUNGUZA CHANGAMOTO YA WALIMU WA ELIMU MAALUM
Serikali imekamilisha upanuzi wa Chuo cha Ualimu Patandi ili kukiongezea uwezo wa kudahili walimu wenye taaluma ya elimu maalum wanaohitajika nchini ili kupunguza changamoto ya walimu hao. Hayo yameelezwa leo Bungeni, Jijini Dodoma na Mhandisi Stella Manyanya alipokuwa akijibu swali la Mhe. Grace Victor Tendega Mbunge wa Viti Maalum kwa …
Soma zaidi »