Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

NAIBU WAZIRI UMMY ATAKA MASUALA YA WATU WENYE ULEMAVU KUJUMUISHWA NA KUJADILIWA KWENYE MABARAZA YA MKOA NA WILAYA

Sehemu ya Viongozi wa Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu (SHIVYAWATA) Mkoa wa Tabora na watendaji katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakisikiliza kwa makini maelezo ya Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu wenye Ulemavu Mhe. Ummy Nderiananga (hayupo pichani) alipofanya ziara ya kikazi katika mkoa huo. …

Soma zaidi »

TBS YATEKETEZA BIDHAA ZISIZOKIDHI UBORA ZENYE THAMANI YA MILIONI 40

Na Eliud Rwechungura Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeteketeza bidhaa zisizokidhi ubora wa viwango yenye thamani ya shilingi milioni 40 ambazo ziliondolewa sokoni na Wakaguzi wa TBS kanda ya kati kuanzia mwezi Novemba, 2020 hadi Januari 15, 2021. Zoezi hilo la uteketezaji bidhaa hizo limefanyika katika dampo Chidachi – Dodoma, Januari …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA SHAMBA LA MITI CHATO MKOANI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Waziri wa Madini Doto Biteko, Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu TFS Profesa Dos Santos Silayo pamoja na viongozi …

Soma zaidi »

WAZIRI BASHUNGWA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WANAMUZIKI

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la Umoja wa Wanamuziki Tanzania (TAMUFO) litakalofanyika Februari 13, 2021 jijini Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha jana Katibu Mkuu wa TAMUFO, Stella Joel alisema pamoja na mambo mengine Bashungwa atatoa  kadi za …

Soma zaidi »

WAZIRI MWAMBE ATOA ONYO KALI LA KUWAFUTIA LESENI WANAOPANDISHA BEI YA MAFUTA YA KULA

Na Eliud Rwechungura. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe amewahakikishia watanzania kuwa hakuna uhaba wa Mafuta ya kula nchini na ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaopandisha bei ya mafuta ya kula nchini na amehaidi kuwachukulia hatua ya kuwafutia leseni za biashara wafanyabiashara wakubwa wanaopandisha bei, nje ya ongezeko la …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AJIKITA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO YA SIMU NA DATA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na Watendaji Wakuu wa Makampuni ya simu nchiniwengine kutoka kulia ni katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma, wengine kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula, Naibu wake dkt Jim Yonazi na Mkurugenzi wa Idara …

Soma zaidi »

DC CHONGOLO APOKEA RIPOTI YA CHANGAMOTO YA TOPE KUTOKA KWA WATAALAMU WA JIOLOJIA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo amepokea ripoti  ya utafiti iliyofanywa na wataalamu wa Jiolojia kuhusiana na kuwepo kwa changamoto ya Tope katika eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam Novemba mwaka jana. Mhe. Chongolo ampokea taarifa hiyo leo ofisini kwake kutoka kwa Timu ya wataalamu iliyokuwa inacunguza …

Soma zaidi »

WAZIRI NDAKI AAGIZA KUKAMATWA MARA MOJA WATUHUMIWA 67 WA UTOROSHAJI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE

Na. Edward Kondela Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ameliagiza jeshi la polisi nchini kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo, kuwasaka na kuwamakata mara moja watuhumiwa 67 wa utoroshaji wa mifugo na mazao yake. Waziri Ndaki amebainisha hayo leo (26.01.2021) mjini Dodoma, katika ofisi za Wizara ya Mifugo …

Soma zaidi »