Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

KITUO CHA AFYA BWISYA CHAPANDISHWA HADHI KUWA HOSPITALI YA WILAYA – MAJALIWA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amepandisha hadhi ya kituo cha afya cha Bwisya kilichoko Ukara wilayani Ukerewe, Mwanza kiwe na hadhi ya hospitali ya wilaya kuanzia leo. Hayo yamesemwa na mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa wakati akizungumza na wakazi …

Soma zaidi »

DOTO JAMES: MIRADI YA KIMKAKATI INAYOTEKELEZWA NCHINI NI KWA MUJIBU WA SHERIA

Na. Farida Ramadhani na Ivona Tumsime, WFM, Dodoma Serikali imesema kuwa miradi yote mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa nchini imeshapangwa ndani ya bajeti za kisekta za Wizara husika ambazo hupitishwa na Bunge kila mwaka. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James wakati wa ufunguzi …

Soma zaidi »

AJIRA ZAIDI YA 2,000 ZIMEPATIKANA WILAYANI SIHA MKOANI KILIMANJARO

Na, Pius Ntiga, Siha. Zaidi ya ajira 2,000 zimepatikana katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro kwa kipindi cha miaka mitano za wananchi kufanya kazi katika miradi mbalimbali ukiwemo wa Shamba la Mwekezaji la Maparachichi-Africado. Miradi hiyo mikubwa ya Mwekezaji Africado lililopo Kijiji cha Kifufu pamoja na ule wa Shamba la …

Soma zaidi »

MAUZO YA KOROSHO YA TANZANIA YAMEONGEZEKA KUTOKA TANI 27 MWAKA 2017 HADI KUFIKIA TANI 1007 MWAKA 2020 NCHINI CHINA

China imeahidi kununua zaidi bidhaa za kilimo na Uvuvi kutoka Tanzania ahadi hiyo imetolewa leo jijini Beijing katika Mkutano wa Balozi Kairuki na Rais wa Taasisi ya China Chamber of Import and Export of Foodstuff Ndugu CAO Derong Mauzo ya bidhaa za baharini kutoka Tanzania Bara na Zanzibar- Ornament Spinal …

Soma zaidi »

TANZANIA IMETAJWA KAMA NCHI YA KIELELEZO CHA AMANI NA DEMOKRASIA KATIKA BARA LA AFRIKA

Norway yaitaja Tanzania kama kielelezo cha amani na demokrasia katika chaguzi Barani Afrika kutokana na mchakato wa kampeni za uchaguzi mkuu unavyofanyika kwa amani,utulivu na usawa kwa wagombea wa vyama vyote huku wananchi wakijitokeza kwa wingi kusikiliza sera za wagombea. Balozi wa Norway nchini Tanzania Balozi Elisabeth Jacobsen ameyasema hayo …

Soma zaidi »

WATU 18 WAKUTWA NA SHINIKIZO LA DAMU, ZAIDI YA ASILIMIA 50 WANA UZITO ULIOPITILIZA, JUKWAA LA ONE STOP JAWABU – MBAGALA

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zenais Ngowi akitoa maelekezo ya jinsi ya kujaza fomu ya uelewa wa magonjwa ya moyo kwa mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo katika viwanja vya Mbagala Zakheem wilayani Temeke kupitia jukwaa la One Stop Jawabu ambapo Taasisi hiyo ilitoa bila malipo …

Soma zaidi »