Bodi ya usajili wa Wahandisi wakikagua maendeleo ya ujenzi wa reli ya SGR sehemu ya Morogoro - Makotopora KM 422 mafundi wakiendelea na kazi moja ya handaki linalopatikana katika ujenzi wa reli