AJIRA ZAIDI YA 2,000 ZIMEPATIKANA WILAYANI SIHA MKOANI KILIMANJARO

Na, Pius Ntiga, Siha.

Zaidi ya ajira 2,000 zimepatikana katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro kwa kipindi cha miaka mitano za wananchi kufanya kazi katika miradi mbalimbali ukiwemo wa Shamba la Mwekezaji la Maparachichi-Africado.

Ad

Miradi hiyo mikubwa ya Mwekezaji Africado lililopo Kijiji cha Kifufu pamoja na ule wa Shamba la uzalishaji wa Mayai ya Kisasa lenye ukubwa wa hekari 507 lililopo Kijiji cha Namwai, la Mwekezaji Irvine Family, imezalisha ajira zaidi ya 700 Kati ya 2,000 za wananchi kuanzia mwaka 2015-2020.

Akizungumza na Amsha Amsha 2020 ya Uhuru FM ikilenga kuainisha mafanikio ya serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais John Magufuli,
Meneja Utawala wa Shamba la Africado, Berinda Meena, amesema Shamba hilo limesaidia kupatikana kwa ajira 500 za wananchi wa Siha ambazo zimefanikisha kujikwamua kiuchumi na kujiongezea kipato.

Watangazaji wa Uhuru FM Sakina Abdulmasoud wa kushoto na Anthony Joseph wakifanya mahojiano

Chini ya Mafanikio shamba hilo la Africado lenye uwekezaji wa Mabilioni ya Shilingi limekuwa likisaidia pia wafanyakazi kujengewa uwezo wa ujuzi wa kilimo kwa kufunga Vikonyo, ambapo sehemu kubwa ya wafanyakazi Wana mashamba yao binasfi.

Amesema wanyakazi hao wamekuwa wakipatiwa pembejeo bure na Mwekezaji huyo ambapo mazao yao huyauza pia katika Shamba ya huyo Mwekezaji Africado ambapo Mwekezaji wake ni James Pasoz raia wa Ujerumani.

“Tangu Mwekezaji huyu awekeze katika shamba hilo ambapo Sasa yapata miaka 10 wamekuwa wakizalisha maparachichi na kuyauza ulaya na Uarabuni” amesema Berinda.

Kwa mwaka huu zaidi ya Tani 3,600 amesema zimezalishwa katika shamba hilo na kuuza nje ya nchi.

“Maandalizi ya shamba la Maparachichi ni miaka mitatu kuanzia hatua ya kupanda Miche hadi kuvuna kwa kutumia mbegu ya Hasi inayokuwa haraka” alisema.

Aidha, amesema Serikali imekuwa ikitoa kipaumbele kwa kutoa leseni kupitia EPZ na msamaha wa kodi na kuwezesha eneo kubwa kwa kuweka mtaji mkubwa, na hivyo ameipongeza Serikali kwa kumsaehe pia VAT kwa vitu anavyonunua kwa ajili ya shamba hilo.

Pia Berinda amesema Mwekezaji huyo amekuwa na mahusiano mazuri kati yake na serikali.

Aidha, amesema Mazingira ya uwekezaji sasa ni mazuri kwa kiasi kikubwa wamekuwa na mazingira ambayo yamesaidia kampuni hiyo kukuwa kwa kiasi kikubwa.

pia amesisitiza kuwa bado wanatafutwa maeneo mengine ya kuwekeza zaidi wilayani Siha.

“Shamba hilo limekuwa na msaada mkubwa kwani kipato kinachopatikana kimekuwa kikisaidia kukuza uchumi wao pamoja na kujenga shule ya msingi Karagoha na kutoa kampeni ya matibabu bure ya Macho” amesema.

Wakati huo huo, Meneja Mwendeshaji wa Shamba la Mayai ya Kisasa la Joseph Kasegama, amesema Shamba hilo limepunguzaa upungufu uliokuwepo nchini wa upatikanaji wa vifaranga vya Kuku na limesaidia ajira 120 za wananchi wa Siha na kuongeza pia Mapato katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha.

“Shamba hilo la Irvine Family lenye hekari 507 lina Mabanda 507 yenye uwezo wa kuchukua Kuku 9,000” Alisema.

Katika hatua nyingine, Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu, ameipongeza serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Magufuli kwa kupeleka kiasi kikubwa cha fedha za maendeleo katika Wilaya hiyo ambazo pia zimewezesha kukarabati pia Hospitali ya Wilaya ya Siha.

Chini ya fedha hizo Hospitali ya Kibong’oto inayotibu pia watu wa Kifua Kikuu-TB, imepelekewa shilingi Bilioni-7 huku Hospitali ya Wilaya ya Siha imepokea shilingi Bilioni-2 zilizofanya ukarabati Mkubwa.

Aidha, amesema zaidi ya bilioni 50 zimetumika kujenga barabara za lami wilayani humo sanjari na kurahisisha upatikanaji wa huduma ya maji safi na Salama.

Pia amesema Mpango wa elimu bure umesaidia kuongeza idadi ya wanafunzi wanaojiunga na elimu ya Msingi na sekondari wakiwemo wa jamii ya Kimasai.

“Ni kwamba Ukanda wa Kasikazini haujasaulika, kwani kumekuwa na maneno kuwa Ukanda huu umesahaurika kitu ambacho sio kweli” Alisema Buswelu.

Mkuu huyo wa Wilaya ya Siha, ambaye Katibu Tawala wake wa Wilaya hiyo ni Joseph Mabiti, DC Buswelu, amesema hodpitali hiyo yenye ukubwa wa Hekari 20 ikimalizika itakuwa na uwezo wa kutibu wagonjwa hata kutoka Longido pamoja na Arumeru.

Aidha kuhusu suala la wakulima na wafugaji amesema sasa hali iliyopo wilayani hiyo hakuna magomvi kwenye zaidi ya hekari 700 zimetengwa kwa ajili ya wafugaji.

Kuhusu mahusiano na wawekezaji amesema Ni mazuri na hivyo kuwataka watu kupuuza kauli zinazotolewa kuwa hakuna mahusiano mazuri ya wawekezaji na serikali.

Akizungumzia Kampeni za Uchaguzi Mkuu zinazoendelea, Buswelu, amewataka wanasiasa kunadi Sera zao kwa utulivu na waache mihemuko na aakawataka wananchi kutekeleza haki yao ya msingi kwa kujitokeza kwa wingi Oktoba 28 mwaka huu wakachague viongozi watakaowaletea maendeleo ya haraka.

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Siha, Dkt Andrew Method, amesema hivi karibuni mashine ya X-ray itafungwa na hivyo kupunguza changamoto ya wanachi kwenda kutafuta huduma ya vipimo KCMC pamoja na Hospitali ya Mawenzi ya Mjini Moshi.

Aidha Hospitali hiyo ndani ya wiki chache zijazo majengo ya Huduma na mama na mtoto yataanza kutumika, ambapo katika Hospitali hiyo vifo vinavyotokana na uzazi vimepungua na kifo kimoja kwa mwaka.

Aidha, Dkt Method amesema hospitali hiyo itakuwa na uwezo wa kuwa na jengo la kisasa la kuhifadhi miili 20 ya marehemu kwa wakati mmoja.

Pia amesema ndani ya miezi mitatu ijayo Hospitali hiyo ya Siha itapokea kiasi kikubwa cha dawa ambacho kitatoshereza Hospitali hiyo na hata kuzidawa katika vituo vingine vya Afya nje ya Wilaya hiyo.

Nao wananchi pamoja na watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Siha, wamepongeza uboreshaji wa Hospitali hiyo ambayo inatoa huduma kubwa za kibingwa ambazo walikuwa wakizipata nje ya Wilaya hiyo ya Siha.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Mradi wa Magari ya Mwendo Kasi, Kuboresha Usafiri, Uchumi, na Mazingira Tanzania

Mradi wa magari ya mwendo kasi nchini Tanzania umekuwa na faida nyingi za kijamii, kiuchumi, …

37 Maoni

  1. Karim Benzema https://karimbenzema.prostoprosport-ar.com is a French footballer who plays as a striker for the Saudi Arabian club Al-Ittihad. He played for the French national team, for which he played 97 matches and scored 37 goals. At the age of 17, he became one of the best reserve players, scoring three dozen goals per season.

  2. Anderson Sousa Conceicao better known as Talisca https://talisca.prostoprosport-ar.com is a Brazilian footballer who plays as a midfielder for the An-Nasr club. A graduate of the youth team from Bahia, where he arrived in 2009 ten years ago.

  3. Продажа подземных канализационных ёмкостей https://neseptik.com по выгодным ценам. Ёмкости для канализации подземные объёмом до 200 м3. Металлические накопительные емкости для канализации заказать и купить в Екатеринбурге.

  4. Lebron Ramone James https://lebronjames.prostoprosport-ar.com American basketball player who plays the positions of small and power forward. He plays for the NBA team Los Angeles Lakers. Experts recognize him as one of the best basketball players in history, and a number of experts put James in first place. One of the highest paid athletes in the world.

  5. Maria Sharapova https://maria-sharapova.prostoprosport-ar.com Russian tennis player. The former first racket of the world, winner of five Grand Slam singles tournaments from 2004 to 2014, one of ten women in history who has the so-called “career slam”.

  6. Kevin De Bruyne https://kevin-de-bruyne.prostoprosport-ar.com Belgian footballer, midfielder of the Manchester club City” and the Belgian national team. A graduate of the football clubs “Ghent” and “Genk”. In 2008 he began his adult career, making his debut with Genk.

  7. Larry Joe Bird https://larry-bird.prostoprosport-br.com American basketball player who spent his entire professional career in the NBA ” Boston Celtics.” Olympic champion (1992), champion of the 1977 Universiade, 3-time NBA champion (1981, 1984, 1986), three times recognized as MVP of the season in the NBA (1984, 1985, 1986), 10 times included in the symbolic teams of the season (1980-88 – first team, 1990 – second team).

  8. Kyle Andrew Walker https://kylewalker.prostoprosport-br.com English footballer, captain of the Manchester City club and the England national team. In the 2013/14 season, he was on loan at the Notts County club, playing in League One (3rd division of England). Played 37 games and scored 5 goals in the championship.

  9. Mohamed Salah https://mohamed-salah.prostoprosport-cz.org je egyptsky fotbalista, ktery hraje jako utocnik za anglictinu. klub Liverpool a egyptsky narodni tym. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu na svete.

  10. Bernardo Silva https://bernardo-silva.prostoprosport-cz.org Portugalsky fotbalista, zaloznik. Narozen 10. srpna 1994 v Lisabonu. Silva je povazovan za jednoho z nejlepsich utocnych zalozniku na svete. Fotbalista je povestny svou vytrvalosti a vykonem.

  11. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  12. Son Heung Min https://son-heung-min.prostoprosport-cz.org Jihokorejsky fotbalista, utocnik a kapitan anglickeho klubu Premier League Tottenham Hotspur a narodniho tymu Korejske republiky. V roce 2022 vyhral Zlatou kopacku Premier League.

  13. Rodrigo Silva de Goiz https://rodrygo.prostoprosport-cz.org Brazilsky fotbalista, utocnik Realu Madrid a brazilskeho narodniho tymu. V breznu 2017 byl Rodrigo povolan do narodniho tymu Brazilie U17 na zapasy Montague Tournament.

  14. Play PUBG Mobile https://pubg-mobile.com.az an exciting world of high-quality mobile battle royale. Unique maps, strategies and intense combat await you in this exciting mobile version of the popular game.

  15. 1xbet https://1xbet.best-casino-ar.com with withdrawal without commission. Register online in a few clicks. A large selection of slot machines in mobile applications and convenient transfers in just a few minutes.

  16. Kevin De Bruyne https://kevin-de-bruyne.liverpool-fr.com Belgian footballer, born 28 June 1991 years in Ghent. He has had a brilliant club career and also plays for the Belgium national team. De Bruyne is known for his spectacular goals and brilliant assists.

  17. Изготовление, сборка и ремонт мебели https://shkafy-na-zakaz.blogspot.com для Вас, от эконом до премиум класса.

  18. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thibaut-courtois.real-madrid-ar.com Footballeur belge, gardien de but du Club espagnol “Real Madrid”. Lors de la saison 2010/11, il a ete reconnu comme le meilleur gardien de la Pro League belge, ainsi que comme joueur de l’annee pour Genk. Trois fois vainqueur du Trophee Ricardo Zamora, decerne chaque annee au meilleur gardien espagnol

  19. Khabib Abdulmanapovich Nurmagomedov https://khabib-nurmagomedov.com.az Russian mixed martial arts fighter who performed under the auspices of the UFC. Former UFC lightweight champion.

  20. The most important sports news https://bein-sport-egypt.com, photos and blogs from experts and famous athletes, as well as statistics and information about matches of leading leagues.

  21. Antoine Griezmann https://atlticomadrid-dhb.antoine-griezmann-cz.com Atletico Madrid star whose talent and decisive goals helped the club reach the top of La Liga and the UEFA Champions League.

  22. How Karim Benzema https://alIttihad.karim-benzema-cz.com changed the game of Al-Ittihad and Saudi football: new tactics, championship success, increased viewership and commercial success.

  23. NFL https://nfl-ar.com News, analysis and topics about the latest practices, victories and records. A portal that explores the most beautiful games in the NFL world in general.

  24. Latest GTA game news https://gta-uzbek.com, tournaments, guides and strategies. Stay tuned for the best GTA gaming experience

  25. Discover the wonderful world of online games https://onlayn-oyinlar.com with GameHub. Get the latest news, reviews and tips for your favorite games. Join our gaming community today!

  26. Serxio Ramos Garsiya https://serxio-ramos.com ispaniyalik futbolchi, himoyachi. Ispaniya terma jamoasining sobiq futbolchisi. 16 mavsum davomida u “Real Madrid”da markaziy himoyachi sifatida o’ynadi.

  27. Leroy Sane’s https://bavaria.leroy-sane-ft.com success story at FC Bayern Munich: from adaptation to influence on the club’s results. Inspiration for hard work and professionalism in football.

  28. The story of Luka Modric’s rise https://real-madrid.lukamodric-br.com from young talent to one of the greatest midfielders of his generation and a key player for the Royals.

  29. Cristiano Ronaldo https://al-nassr.cristianoronaldo-br.net one of the greatest football players of all time, begins a new chapter in his career by joining An Nasr Club.

  30. официальный сайт драгон мани казино https://web-kulinar.ru

  31. Mohamed Salah https://liverpool.mohamedsalah-ar.com an Egyptian footballer, rose to fame through his outstanding performances at Liverpool Football Club.

  32. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  33. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  34. Manny Pacquiao https://filipino-boxer.manny-pacquiao-ar.com is one of the most prominent boxers in the history of the sport.

  35. The golf https://arabic.golfclub-ar.com industry in the Arab world is growing rapidly, attracting players from all over the world.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *