Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

VIHENGE VYA NFRA KUWAHAKIKISHIA SOKO LA MAHINDI WAKULIMA MKOANI RUKWA

Ujenzi wa wa Vihenge vya kisasa Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Omary Mgumba amewahakikishai wakulima wa zao la mahindi mkoani Rukwa kuwa mradi wa ujenzi wa Vihenge vya kisasa vya kuhifadhia mazao hayo utakapokamilika utatatua tatizo la soko kwa wakulima ambao kwa msimu wa 2019/2020 wamekuwa wakipata tabu kutokana na …

Soma zaidi »

WANATAALUMA WA SEKTA YA AFYA WAPEWA MIEZI SITA YA KUJISAJILI NA KUHUISHA LESENI ZAO

Na. WAMJW-Dodoma Wanataaluma wote wa sekta ya afya nchini wametakiwa wawe wamejisajili, na kuhuisha leseni kwenye mabaraza yao ya kitaalam ndani ya miezi sita kuanzia sasa. Aidha kwa wale ambao wamejiendeleza zaidi kitalaamu wanatakiwa kuwasilisha(update) vyeti vyao vya viwango katika mabaraza ili kutambulika kisheria na kitaaluma. Rai hiyo imetolewa leo …

Soma zaidi »

KILIMO CHA UMWAGILIAJI KIMEONGEZA UZALISHAJI WA MPUNGA TOKA WASTANI WA TANI 4.0 MWAKA 2014 HADI TANI 7.2 KWA MWAKA 2019

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya amewaeleza wahandisi wa umwagiliaji mikoa kuwa wana deni la kurejesha imani kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kutekeleza miradi yenye ubora na tija ya uzalishaji mazao ya wakulima kwa kuwa fedha nyingi za umma zinatumika. Katibu Mkuu amesema hayo mkoani Morogoro …

Soma zaidi »

WATANZANIA WAASWA KUTUMIA MPANGO WA FEDHA ILI KUJILETEA MAENDELEO

Na Immaculate Makilika na Jonas Kamaleki- MAELEZO Serikali yawataka watanzania kutumia  Mpango Mkuu wa Maendeleo wa  Sekta ya Fedha ya mwaka 2020/21 hadi 2029/30 ili kujiletea maendeleo kwa ajili ya kukuza uchumi wa nchi. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa mpango huo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha …

Soma zaidi »

TAASISI YA MOYO JKCI KWA KUSHIRIKIANA NA CHUO KIKUU MUHAS YAANZISHA KLINIKI MAALUM KWA WAGONJWA WA SIKOSELI WANAOKABILIWA NA MAGONJWA YA MOYO

Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam Kliniki maalum kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa sikoseli ambapo wanaokabiliwa pia na magonjwa ya moyo imeanzishwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kliniki hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Pro. Mohamed Janabi amesema wameshirikiana na Chuo Kikuu …

Soma zaidi »

HATUA ZA KISHERIA KUCHUKULIWA KWA TAASISI ZA UMMA ZITAKAZO ANZISHA MIFUMO YA FEDHA BILA KIBALI

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango na Mlipaji Mkuu wa Serikali, Bw. Doto James akizungumza wakati wa halfa ya kupokea ripoti ya tathimini ya Mfumo wa Kielektroniki ya Ukusanyaji wa Mapato na Usimamizi wa Fedha za Umma, ambapo amewaagiza Afisa Masuhuli wote nchini kutotengeneza mifumo yoyote bila kupata kibali …

Soma zaidi »

WAZIRI HASUNGA AZINDUA ZOEZI LA UGAWAJI WA MBOLEA KWA WAKULIMA

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga amezindua zoezi muhimu la ugawaji wa mbolea bure kwa wakulima wa Mkoa wa Songwe ili waweze kuitumia katika msimu wa kilimo 2020/2021. Amesema kuwa mkoa wa Songwe umekuwa ukizalisha chakula kwa kiasi kikubwa huku ukishika nafasi ya tatu kitaifa katika uzalishaji wa mazao ya Nafaka …

Soma zaidi »