TUME YA TAIFA YA UMWANGILIAJI IMEJENGA NA KUKARABATI SKIMU 179

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya amesema sekta ya umwagiliaji imeongeza usalama wa chakula kwa kuchangia wastani wa 24 % ya mahitaji yote ya chakula nchini.

Amesema hayo Morogoro wakati wa kikao cha Tume ya Taifa ya umwagiliaji na wahandisi wa umwagiliaji wa mikoa.

“Tume ya Taifa ya Umwagiliaji imefanikiwa kujenga na kukarabati skimu 179 za Umwagiliaji,hivyo kuongeza eneo linalomwagiliwa toka hekta 461,000 (2015)hadi hekta 694,715 (2020) na tija imeongezeka toka tani 1.8 – 2.0 hadi 4.0 –5.0 kwa hekta zao la mpunga” amesema Kusaya

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUMSHUSHA MAMA NDOO KICHWANI – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Kilwa, kufanya utafiti wa kina …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.