WANATAALUMA WA SEKTA YA AFYA WAPEWA MIEZI SITA YA KUJISAJILI NA KUHUISHA LESENI ZAO

Na. WAMJW-Dodoma

Wanataaluma wote wa sekta ya afya nchini wametakiwa wawe wamejisajili, na kuhuisha leseni kwenye mabaraza yao ya kitaalam ndani ya miezi sita kuanzia sasa. Aidha kwa wale ambao wamejiendeleza zaidi kitalaamu wanatakiwa kuwasilisha(update) vyeti vyao vya viwango katika mabaraza ili kutambulika kisheria na kitaaluma.

Ad

Rai hiyo imetolewa leo na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi wakati akiongea na wasajili wa mabaraza mbalimbali ya kitaalam ya Wizara ya Afya pamoja na wasajili wa bodi zilizo chini ya wizara hiyo.

“Kila mwanataaluma aliyemaliza mafunzo yake ni vizuri awe amesajiliwa katika mabaraza yao, agizo hili ni kwa wanataaluma wote katika sekta ya afya ili muweze kutambulika, na uzuri hivi sasa kuna tovuti hivyo mnaweza kupata kujisali , kulipia na baadae kutumiwa vyeti vyenu bila kuchelewa. Kwa mantiki hiyo nawapa miezi sita wawe wamesajiliwa”. Alisisitiza

Pia wanatataaluma wanaojiendelea kwa ngazi mbalimbali ya taalauma ya afya kama uzamili na uzamivu ‘PhD’ wanatakiwa kusajili hivi viwango katika mabaraza yao ili watambulike.

Prof. Makubi amesema utaratibu huo umewekwa na Serikali kupitia mabaraza hayo hivyo kila mwana taaluma anatakiwa kujisajili au kuhuisha leseni ambazo zimeisha muda ili waendelee kutambulika na kufanya kazi zao.

Aidha,Prof. Makubi ameongeza kuwa wizara kupitia mabaraza hayo imeweka miundombinu ya mafunzo endelevu ya kitaaluma kwa kila taaluma kwa kufanya mitihani kwa ngazi zote.”Lakini mtu aliyefanya mtihani nje ya utaratibu huu basi anatakiwa kuleta ili kufanya usajili ili kupata alama na uwekwe kwenye kiwango stahili na ndio utaonekana bado upo kwenye kiwango cha uelewa kwenye taaluma yako na kuwatumikia wananchi”.

Kwa upande wa baadhi ya watu wa sekta ya afya wanaojipa hadhi ya kiwango fulani cha taaluma bila ya kujisajili kwenye mabaraza ya kitaaluma, Prof. Makubi ametoa miezi mitatu kwa wale wanataaluma wenye vyeti vyao wajisajilii ili kutambulika wapo katika kiwango fulani cha taaluma.

“Kuna baadhi ya wataaluma wanaojipa hadhi ya kiwango fulani cha kitaaluma wakati hawajasajili vyeti vyao kwenye mabaraza, nitoe mfano kuna wanataaluma wanaojiita mabingwa wa kitu fulani (specialist, consultant …) na wanajitangaza kwa wananchi wakati hatuna ushahidi na kumbukumbu. Kwahiyo tumekubaliana na mabaraza suala hilo sasa lifikie mwisho na wote waliojiendeleza zaidi waje wajisajili haraka kwa kuwasilisha vyeti vyao.” Alisisitiza Prof. Makubi.

Hata hivyo Mganga Mkuu wa Serikali aliwaagiza waganga wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa Hsopitali, taasisi za afya, vyuo vya afya na waganga wafawidhi wote kuzingatia kusimamia utekelezaji wa maagizo haya kwenye sekta zote za afya ili kulinda viwango na hadhi ya taaluma husika. “Taaluma zote za afya lazima ziendelee kuheshimika na kusimamiwa vizuri ili kulinda afya za wananchi kwa viwango vya juu na bila kuruhusu wanataaluma bubu”, Alisema Prof Makubi.

Pia kwa Waganga wa tiba asili wametakiwa kufuata utaratibu wa kujisajili pamoja na wasaidizi wao na kufuata miongozo ya utoaji wa tiba asili na tiba mbadala kwani serikali ipo tayari kuwapa ushirikiano kwa kuwasaidia malengo yao ya utoaji wa tiba asili yanafanikiwa.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA ATEMBELEA RUKWA.. AANGAZIA AFYA, ELIMU, KILIMO NA MIUNDOMBINU KWA MIRADI YA MAENDELEO.

Katika ziara ya Rais Samia siku ya leo iliangazia kwenye sekta ya Afya, Elimu, Kilimo …

24 Maoni

  1. Thanks so much for this, keep up the good work 🙂

  2. With internet full of dupe articles it is nice to find original content like yours thank you so very much.

  3. Thank you for this great piece of content. Best Regards

  4. In January 2010, Harry Kane https://harry-kane.prostoprosport-fr.com received an invitation to the England U-team for the first time 17 for the youth tournament in Portugal. At the same time, the striker, due to severe illness, did not go to the triumphant 2010 European Championship for boys under 17 for the British.

  5. Kylian Mbappe Lotten https://kylian-mbappe.prostoprosport-fr.com Footballeur francais, attaquant du Paris Saint-Germain et capitaine de l’equipe de France. Le 1er juillet 2024, il deviendra joueur du club espagnol du Real Madrid.

  6. Declan Rice https://declan-rice.prostoprosport-fr.com Footballeur anglais, milieu defensif du club d’Arsenal et de l’equipe nationale equipe d’Angleterre. Originaire de Kingston upon Thames, Declan Rice s’est entraine a l’academie de football de Chelsea des l’age de sept ans. En 2014, il devient joueur de l’academie de football de West Ham United.

  7. Olivier Jonathan Giroud https://olivier-giroud.prostoprosport-fr.com French footballer, striker for Milan and the French national team. Knight of the Legion of Honor. Participant in four European Championships (2012, 2016, 2020 and 2024) and three World Championships (2014, 2018 and 2022).

  8. Ronaldo de Asis Moreira https://ronaldinhogaucho.prostoprosport-br.com Brazilian footballer, played as an attacking midfielder and striker. World Champion (2002). Winner of the Golden Ball (2005). The best football player in the world according to FIFA in 2004 and 2005.

  9. Jamal Musiala https://jamal-musiala.prostoprosport-fr.com footballeur allemand, milieu offensif du club allemand du Bayern et du equipe nationale d’Allemagne. Il a joue pour les equipes anglaises des moins de 15 ans, des moins de 16 ans et des moins de 17 ans. En octobre 2018, il a dispute deux matchs avec l’equipe nationale d’Allemagne U16. En novembre 2020, il a fait ses debuts avec l’equipe d’Angleterre U21.

  10. Mohamed Salah https://mohamedsalah.prostoprosport-br.com e um futebolista egipcio que joga como atacante do clube ingles Liverpool e do Selecao egipcia. Considerado um dos melhores jogadores de futebol do mundo. Tricampeao da Chuteira de Ouro da Premier League inglesa: em 2018 (sozinho), 2019 (junto com Sadio Mane e Pierre-Emerick Aubameyang) e 2022 (junto com Son Heung-min).

  11. Robert Lewandowski https://robert-lewandowski.prostoprosport-br.com e um futebolista polones, atacante do clube espanhol Barcelona e capitao da selecao polonesa. Considerado um dos melhores atacantes do mundo. Cavaleiro da Cruz do Comandante da Ordem do Renascimento da Polonia.

  12. Virgil van Dijk https://virgilvandijk.prostoprosport-br.com Futebolista holandes, zagueiro central, capitao do clube ingles Liverpool e capitao do a selecao holandesa.

  13. Erling Breut Haaland https://erling-haaland.prostoprosport-cz.org je norsky fotbalista, ktery hraje jako utocnik za Anglicky klub Manchester City a norska reprezentace. Rekordman anglicke Premier League v poctu golu za sezonu.

  14. Cristiano Ronaldo https://cristiano-ronaldo.prostoprosport-cz.org je portugalsky fotbalista, utocnik, kapitan Saudske Arabie klubu An-Nasr a portugalskeho narodniho tymu. Mistr Evropy. Povazovan za jednoho z nejlepsich fotbalistu vsech dob. Nejlepsi strelec v historii fotbalu podle IFFIS a ctvrty podle RSSSF

  15. Pedro Gonzalez Lopez https://pedri.prostoprosport-cz.org lepe znamy jako Pedri, je spanelsky fotbalista, ktery hraje jako utocny zaloznik. za Barcelonu a spanelskou reprezentaci. Bronzovy medailista z mistrovstvi Evropy 2020 a zaroven nejlepsi mlady hrac tohoto turnaje.

  16. Thibaut Nicolas Marc Courtois https://thibaut-courtois.prostoprosport-cz.org Belgicky fotbalista, brankar spanelskeho klubu Real Madrid . V sezone 2010/11 byl uznan jako nejlepsi brankar v belgicke Pro League a take hrac roku pro Genk. Trojnasobny vitez Ricardo Zamora Trophy

  17. Romelu Menama Lukaku Bolingoli https://romelu-lukaku.prostoprosport-cz.org Belgicky fotbalista, utocnik anglickeho klubu Chelsea a Belgican vyber. Na hostovani hraje za italsky klub Roma.

  18. Большой выбор игровых автоматов, рабочее зеркало сайта https://fartunaplay.ru играть на реальные деньги онлайн

  19. Nice to meet you! We are a online retailer since 1988. Welcome to Elivera 1988-2023. EliveraGroup sells online natural cosmetics, beauty products, food supplements. We connect people with products and services in new and unexpected ways. The company ELIVERAGroup, is a Retailer, which operates in the Cosmetics industry. ELIVERA was established in 1988. © ELIVERA LTD was established in 2007. The first project was in 1988. It was carried out in trade with Russia, Belarus, Ukraine, Belgium, Hungary, Poland, Lithuania, Latvia and Estonia.

  20. This has to be one of my favorite posts! And on top of thats its also very helpful topic for newbies. thank a lot for the information!

  21. I’m impressed, I need to say. Really rarely do I encounter a blog that’s both educational and entertaining, and let me tell you, you have hit the nail on the head.

  22. you may have an ideal blog here! would you prefer to make some invite posts on my blog?

  23. Thank you for the auspicious writeup.

  24. I think this is among the so much vital info for me. And i’m happy reading your article. But wanna remark on few common issues, The site style is wonderful, the articles is really excellent : D. Just right job, cheers

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *