Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa kufunga Bunge la 11 mjini Dodoma June 16,2020 Eneo la Elimu ”Kwenye elimu, kama unavyofahamu, tulianza kutoa elimu bila malipo kwa shule za msingi na sekondari ambapo mpaka mwezi Februari 2020 tulikuwa tumetumia shilingi trilioni 1.01 kugharamia. Lakini, mbali na kutoa elimu bure, tumeongeza …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
MAELEKEZO YA ULIPAJI WA ADA ZA SHULE ZISIZO ZA SERIKALI BAADA YA JANGA LA CORONA
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inapenda kutoa maelekezo kufuatia malalamiko kuhusu ulipaji wa ada na malipo mengine kwa shule za Msingi na Sekondari zisizo za Serikali zitakapofunguliwa baada ya janga la Corona. Wizara inaelekeza na kusisitiza kuwa wanafunzi wote wapokelewe kwa ajili ya kuendelea na masomo ifikapo tarehe 29/06/2020. …
Soma zaidi »PROF. KABUDI AKUTANA, KUMUAGA BALOZI WA IRELAND NCHINI TANZANIA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi, amekutana na kumuaga Balozi wa Ireland nchini, Paul Sherlock ambaye amemaliza muda wake wa utumishi na amemtakia maisha mema na kumwambia kuwa ni matarajio yake kuwa atakuwa balozi mwema kwa Tanzania nchini Ireland na kwingineko duniani. …
Soma zaidi »MKUTANO WA MAWAZIRI WA KAMATI YA SADC YA ASASI YA USHIRIKIANO WA SIASA, ULINZI NA USALAMA KWA NGAZI YA MAKATIBU WAKUU WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM
Mkutano wa Mawaziri wa Kamati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama kwa ngazi ya Makatibu Wakuu/ Maafisa Waandamizi umefanyika tarehe 25 Juni,2020, Jijini Dar es Salaam kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing). Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama …
Soma zaidi »TAMISEMI YARIDHISHWA NA MATUMIZI MAZURI YA FEDHA ZA MAPATO YA NDANI KATIKA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA KINONDONI
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Josephat Kandege ameridhishwa na matumizi ya fedha za mapato ya ndani ya Halmashauri zilizotumika katika utekelezaji wa miradi ya maedeleo iliyokamilika kwa wakati na viwango. Amesema kuwa Manispaa hiyo ni mfano wakuigwa kwa kuwa …
Soma zaidi »WILAYA YA KINONDONI KUJENGA UWANJA WA MPIRA WA KISASA
Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi ya mashabiki 3600 kwa mara moja. Pongezi hizo zimetolewa na Naibu wa Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Josephat Kandege wakati wa ziara yake katika …
Soma zaidi »TANZANIA YAENDELEA KUZIOMBA TAASISI ZA FEDHA ZA KIMATAIFA KUSAMEHE MADENI NCHI ZINAZOENDELEA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kuziomba taasisi za fedha za kimataifa pamoja na nchi za Jumuiya ya madola kufikiria kufuta kabisa madeni yaliyokopeshwa kwa nchi zinazoendelea ili fedha hizo ziweze kutumika kupambana na athari zilizotokana na Covid 19. Ombi hilo limetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje …
Soma zaidi »MILIONI 780 KUJENGA KLINIKI YA HUDUMA ZA METHADONE MKOA WA TANGA
Serikali kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wanaendelea kuboresha huduma za afya nchini ambapo shilingi milioni 780 zimetolewa kwa ajili ya kujenga kliniki ya huduma za methadone kwa waathirika wa madawa ya kulevya mkoani Tanga. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo Mhe. Ummy …
Soma zaidi »SERIKALI IMEFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KWENYE SEKTA YA AFYA HUSUSANI KATIKA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIBINGWA – NAIBU WAZIRI MOLLEL
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel ametembelea na kukagua hali ya utaoaji wa huduma katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI pamoja na kuzumza na watumishi ili kufahamu changamaoto mbalimbali wanazozipata katika kutekeleza majukumu yao ya kazi za kila siku. Akizungumza na …
Soma zaidi »WAZIRI KIGWANGALLA ATETA NA MABALOZI WA NCHI MBALIMBALI KUHUSU UTAYARI WA TANZANIA KUPOKEA WATALII
Na. Aron Msigwa – WMU. Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amesema kuwa Tanzania imejipanga na iko tayari kupokea watalii kutoka katika mataifa mbalimbali ikiwemo nchi ya Sweden na Israel ambazo raia wake wamekua wakitembelea vivutio mbalimbali vya utalii vya Tanzania. Dkt. Kigwangalla ameyasema hayo leo jijini Dar …
Soma zaidi »