WIZARA MALIASILI

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri ili kumkumbuka na kumuombea aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga …

Soma zaidi »

TANAPA YATAKIWA KUONGEZA IDADI YA MABANGO YA TAHADHARI BARABARANI ILI KUPUNGUZA IDADI YA WANYAMAPORI WANAOGONGWA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu akizungumza katika mkutano uliowakutanisha kwa pamoja Wadau wa Uhifadhi kujadili jinsi ya kulinda shoroba ya Kwakuchinja pamoja na maeneo mengine muhimu ya Wanyamapori  katika  ikolojia ya Tarangire na  Manyara katika mkutano uliofanyika katika wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kushoto ni Mkuu wa …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII KANYASU AKERWA NA WAVAMIZI WA MAENEO YA HIFADHI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu ameonesha kukerwa  na baadhi ya wananchi  wanaendelea kujenga nyumba na kuendesha shughuli za kilimo katika maeneo yenye  Wanyamapori hasa katika mapito ya Wanyamapori katika eneo la Kwakunchinja linalounganisha Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na Hifadhi ya Manyara. Amesema kutokana na tabia hiyo  …

Soma zaidi »