IKULU

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA AALCO NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli  amekutana na viongozi wa Taasisi ya Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) ambao wanahudhuria mkutano wa 58 unaofanyika hapa nchini kwa siku 5 ukiwakutanisha wajumbe kutoka nchi wanachama 49 na mashirika mbalimbali. Viongozi wa AALCO waliokutana na Mhe. Rais Magufuli ni …

Soma zaidi »

LIVE CATCH UP: RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA JIMBO LA MTAMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli tarehe 15 Oktoba, 2019 anaendelea na ziara yake Mkoani Lindi ambapo atazindua barabara za Mji wa Ruangwa, ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa ghala la mazao la Kijiji cha Lipande Wilayani …

Soma zaidi »

LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWALIMU JK NYERERE MKOANI LINDI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anahudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi

Soma zaidi »