IKULU

TUSIJIDANGANYE WATAWALA WETU WA ZAMANI HAWAWEZI KUGEUKA KWA USIKU MMOJA NA KUWA WAJOMBA ZETU AU WAKOMBOZI WETU KIUCHUMI – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wito kwa Mataifa ya Afrika kutafsiri vizuri dhana ya uhuru na kujiepusha na masalia ya fikra za kikoloni za kuamini kuwa watawala wa zamani wa Mataifa ya Afrika ndio wenye uwezo wa kusaidia kusimamia na kuendeleza rasilimali …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ASHIRIKI TICAD7- YOKOHOMA, JAPAN IKITOA DOLA BILIONI 20 KUSAIDIA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA

Japan imetangaza kutenga kiasi cha dola za kimarekani bilioni 20 kwa kipindi cha miaka mitatu kwa Nchi za Bara la Afrika ili kuziwezesha Nchi hizo kutekeleza miradi ya kimkakati ya maendeleo itakayoleta mageuzi ya kiuchumi katika Bara la Afrika huku Tanzania ikikazia mkakati wake wa uchumi wa viwanda. Waziri Mkuu …

Soma zaidi »

KISWAHILI LUGHA YA NNE RASMI KWA NCHI ZA SADC

Kiswahili kuwa lugha ya nne rasmi itakayotumika katika mikutano na machapisho mbali mbali ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Akitangaza katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AKABIDHIWA UENYEKITI WA SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Agosti, 2019 amekabidhiwa Uenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC ulioanza leo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere …

Soma zaidi »