Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa SADC akizungumza wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaam
Kiswahili kuwa lugha ya nne rasmi itakayotumika katika mikutano na machapisho mbali mbali ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)
Akitangaza katika Mkutano wa 39 wa Wakuu wa nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mwenyekiti wa SADC Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli unaofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania amesema amefurahishwa na jinsi wakuu wenzake wa nchi kuweza kupitisha azimio la kukubali Kiswahili kuwa lugha rasmi
“Kuingiza Kiswahili katika SADC tumefuta machozi ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye alijitahidi kupigania Uhuru wa Nchi nyingi za kusini mwa Afrika,” amesema Rais Dkt. Magufuli
Amesema kuwa Kuingiza Kiswahili kutawezesha kukuza Ushirikiano na Mshikamano wa nchi za Kusini zote za Kusini mwa Afrika,lugha nyingine za SADC ni Kingereza,Kifaransa na Kireno.
#39SADCSummit
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Namibia, Netumbo Ndaitwah akisalimiana na wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamRais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamMakamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamRais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi (katikati) na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilal wa kwanza kushoto wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamWaziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kijazi wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamKatibu Mkuu Kiongozi Balozi Kijazi akizungumza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamWaziri Mkuu Mstaafu John Malecela na Waziri Mkuu Mstaafu Mizego Pinda wakizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Namibia, Netumbo Ndaitwah,wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamMeza Kuu ya Marais na Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamMeza Kuu ya Marais na Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaamWaziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Modest Mero wakati wa kufunga Mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Kituo cha Kimataifa cha Julius Nyerere,jijini Dar es salaam
Hatua ya Kiswahili kuingizwa kwenye lugha rasmi za SADC ni hatua ya kujivunia.